Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

............
ngoja nilale shetani wa kurebet asinikute,
.......
demu unaemwamini ndiye anakuambukiza gono na UTI
 
Mimi nimetulia kaka ,Kanjibahi hakuna anayemuweza
Siku nitakayoona Kuna mbinu imepatikana nitarudi tu rasmi
Ila sahizi nabet kwa machale mnoo!!
All the best
 
Mimi nimetulia kaka ,Kanjibahi hakuna anayemuweza
Siku nitakayoona Kuna mbinu imepatikana nitarudi tu rasmi
Ila sahizi nabet kwa machale mnoo!!
All the best
kumbe ni mwenzetu?!. sasa mbona unakuwa kama mchawi?!. kila ukija unakuja na kauli za kutukatisha tamaa.

mapambano yaendelee kimyakimya mkuu.
 
Hii imetoa kwa mbinde sana
 

Attachments

  • Screenshot_20240302-211826.png
    152.8 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…