zero percent
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 559
- 644
Hahaha asa odds laki mwanangu lazma tuzipunguzeUmeanza kumchokoza tena Jitu bandia
Miezi miwili offline... Nilidhani ushaacha pigo zako za kiwaki!... Kumbe Bado!B34F37 edited
DF107E editedOver 0.5 na hasa hasa over 1.5 zinanichania sana matreni ....nadhani kwenye bet zangu nipunguze sana over 1.5 [emoji56]
Ngoja nijaribu hii nimetia 500 imekuja mil2.6
964EE31
🤣Tulia weweWe Simba mpole jitu alikuwa amekaa kimya mda mrefu hajaposti leo kapost tu fasta umeedit code yake 😂😂 au umemsahau alivyo 😂😂 natania tu
Tujaribu tu mdogo mdogoHiyo option ya over 1.5 nina mkosi nayo sana nisipo tumia hiyo option vita na kanji inskuwa kali sana ila nikitumia kanji ananipiga "KO"
Hahaha hii vita tunapambana sote afu me napunguza tu match ngumu kumezaMiezi miwili offline... Nilidhani ushaacha pigo zako za kiwaki!... Kumbe Bado!
It' was Good to be back!...
Kuna kitimu huko australia queensland kinaniharibia weekend kwa option hiyohiyoOver 0.5 na hasa hasa over 1.5 zinanichania sana matreni ....nadhani kwenye bet zangu nipunguze sana over 1.5 [emoji56]
Ngoja nijaribu hii nimetia 500 imekuja mil2.6
964EE31