Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Edit or copy. Mm nimechukua timu kadhaa kutoka hapa Screenshot_20240309_095709_Chrome.jpg
 
Over 0.5 na hasa hasa over 1.5 zinanichania sana matreni ....nadhani kwenye bet zangu nipunguze sana over 1.5 [emoji56]


Ngoja nijaribu hii nimetia 500 imekuja mil2.6

964EE31
Kuna kitimu huko australia queensland kinaniharibia weekend kwa option hiyohiyo
 
Pale mnyonge anapo nyonywa
 

Attachments

  • Screenshot_20240309-124123.png
    Screenshot_20240309-124123.png
    114.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom