Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Mhhh over 2.5 ipo kwenye pressure,it can happen ila imekaa vibaya
YANGA Mpe direct WinKaribuni tubashiri mechi ya leo...
Max,muda,kibabage na azizi k watafunga haya karibuni...vipi wewe unaonaje
Ihefu winYANGA Mpe direct Win
Na overall match nipe 1.5
Hii ipo sawa
LimetuliaSgr odd 2k edit unapoona inafaa.
View attachment 2931447
mbona wanaema imeisha muda wake??
Code plz hayafunguki haya madude aiseeLimetulia
We nae magazeti kila siku. Umeshaeleweka bhana. Kila mtu na akili zake humu.🤣🤣🤣🤣
Tuweni wakweli
Hakuna Dhambi kuuubwa kama Kumpa Mtu pesa Ili abet.
Yaani kama inafika mtu anaomba pesa Ili Abet,jiulize hivi future yake ipoje? Watu wenye Kazi na Biashara tu wanafilisika kwa kuendekeza KAMARI,je ambae Kazi yake ni ya kuungaunga si ndio balaaa.
Acheni hizo mazeeeee, betting au KAMARI sio ajira,ukiona huna pesa fanyakazi upate pesa sio kutengeneza uombe mtu au ndugu.
Ikifika stage ya kuomba basi stage ya kwanza kupitia ni kuuza vitu, utakuta huyo mtu uza uza.
KAMARI ilivyombaya,we kila Siku ya weekend unaona Pesa nje nje,hapo unakuwa kama unawazim vile,teeeja kwisha Kazi.
Ufupi Acheni kuomba,ndio maana wengine wameona wasiombe humu,yaani wameona wawe MATAPELI,mara watabiri wa Nyota,mara sure odds,na Ushuzi mwingine ilimradi wawapige watu,but ujinga wao ni wa kizamani
Usiendekeze KAMARI utadhalilika wewe na Kizazi chako au familia yako.
Huna pesa acha,kama una vyanzo vya pesa Tenga simple and Minor budget for Betting ila usikae na ndoto ya kuwa Millionaire,utapotea mazima
Umri unaenda huo
Nakuja na Odds kama kiburudisho
Hilo gazette linaandikwa baada ya kuliwa😄We nae magazeti kila siku. Umeshaeleweka bhana. Kila mtu na akili zake humu.
Jamaa ana taarabu nyingi sana hakuna mtoto humu wa kuhitaji ushauri.Hilo gazette linaandikwa baada ya kuliwa[emoji1]
kupoza machungu
Kwanza kama habeti , anafuatilia huu Uzi wa Nini?Jamaa ana taarabu nyingi sana hakuna mtoto humu wa kuhitaji ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa akishaliwa tu anaanza kutoa magazeti ya Mzee Yusuph utafikiri amelazimishwa kubeti.Hilo gazette linaandikwa baada ya kuliwa[emoji1]
kupoza machungu
Ufupi hamjalazimishwa kusoma,l post Zangu,sasa post ni Yangu,kuisoma si ujinga wako mwenyewe?We nae magazeti kila siku. Umeshaeleweka bhana. Kila mtu na akili zake humu.
🤣🤣🤣🤣Hilo gazette linaandikwa baada ya kuliwa😄
kupoza machungu