Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu, mwenye ile link ya yule jamaa wa Facebook anayetoa utabiri naomba aniwekee hapa nataka nichukue link yake ya telegram
 
Pole sana mkuu. Kamari ndivyo ilivyo. Huwezi kuamini alichonifanya PSG kwenye treni hili la timu 21 na ndiyo ilikuwa timu ya mwisho kucheza. Aliongoza magoli 2 kipindi cha kwanza nikawa na furaha ya kupiga 4.7k, nilipoamka asubuhi nikakuta TF 2-2. Iliniuma sana lakini nimeishapoa. Kamari ni mchezo wa kiqumer sana.


 

Attachments

  • 1710234671844.png
    94.7 KB · Views: 4
Pole sana mkuu ulikwa na odds nyingi sana alaaniwe PSG

Mimi nilivyoona UD Almeria kasawazisha 2-2 kuna mtu nilikuwa nae bar tunakunywa pombe ghafla akaniona nimebadilika

Asee ni kama nilipata taarifa za msiba mkubwa sana, nilikunywa konyagi kama maji

Ila pia nimepata funzo la kuachana na markets ambazo hazina cash-out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…