Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwa vilio hivi nimegundua inawezekana humu wengi wanatumia ela ambazo they cant aafford to lose kubetia which is very bad, tujitahid tubet kistaarabu. Alafu kingine kuna watu wanabet kila siku, kubet kila siku= to addiction,
Sio hela we can't afford mkuu,kuna kitu kinaitwa time management unakomaa kufatilia timu plus muda wote unacheki mkeka unaacha cash out unaplan expenditure alafu mwisho wa siku 950k inapotea hata kama nimestake buku ila nikiwaza muda niliotumia kupata hamna ndo naumia zaid
 
Hivi kati ya PARIPESA na HELABET ipo ambayo bado inafanya transactions kwa mobile parement za kibongo?

Naona wakala wangu 1xbet tumezinguana nataka niwajatibu hawa kwa wiki hii tu
 
Hivi kati ya PARIPESA na HELABET ipo ambayo bado inafanya transactions kwa mobile parement za kibongo?

Naona wakala wangu 1xbet tumezinguana nataka niwajatibu hawa kwa wiki hii tu
Wote inakubali kuweka na kutoa
 
Acha habari zako kama unapigwa ni wewe kaaa mbali hii ni kazi yetu wewe haikuhusu mkishapigwa mnageuka motivation spika
 
Toa laki 8 fanyia mambo mengine ya msingi

Halafu laki moja bet hadi upate kiwango unachotaka hata kama ni bilioni moja........ Utakuja kunishukuru baada ya hiyo laki kuliwa
Kabisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji817][emoji817][emoji12] baada ya laki kuliwa tenaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…