Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwa vilio hivi nimegundua inawezekana humu wengi wanatumia ela ambazo they cant aafford to lose kubetia which is very bad, tujitahid tubet kistaarabu. Alafu kingine kuna watu wanabet kila siku, kubet kila siku= to addiction,
Sio hela we can't afford mkuu,kuna kitu kinaitwa time management unakomaa kufatilia timu plus muda wote unacheki mkeka unaacha cash out unaplan expenditure alafu mwisho wa siku 950k inapotea hata kama nimestake buku ila nikiwaza muda niliotumia kupata hamna ndo naumia zaid
 
Hivi kati ya PARIPESA na HELABET ipo ambayo bado inafanya transactions kwa mobile parement za kibongo?

Naona wakala wangu 1xbet tumezinguana nataka niwajatibu hawa kwa wiki hii tu
 
Hivi kati ya PARIPESA na HELABET ipo ambayo bado inafanya transactions kwa mobile parement za kibongo?

Naona wakala wangu 1xbet tumezinguana nataka niwajatibu hawa kwa wiki hii tu
Wote inakubali kuweka na kutoa
 
Duhhhh mtihani huo

Pumzika Mdau Kamari isikufikishe hapo

Ukweli mchungu,ikifika hatua mtu unaomba Pesa iwe humu au hata mtaani au kwa ndugu na marafiki kwa lengo ucheze Kamari,hatua hiyo ni mbaya mnoooo tena mnooo

Omba sana MUNGU akutoe huko,wapo watu mpaka sasa Mishahara imeisha kwa KAMARI

Nakushauri ni bora uwe mtumwa wa Kazi zako au Biashara zako mwenyewe kisha kipato chako mwenyewe ndio utumie kucheza KAMARI

Otherwise kuna age itafika mpa familia kuiingiza ktk maisha ya dhiki na fedheha kwa ajili ya Kamari

Watu Wengi wameuza smart phones zao Ili wacheza KAMARI then Kazi ni kuazima sasa sim,na kurejesha alichouza hakuna tena.

Uraibu wa betting kila ikifika Alkhamis,Ijumaanna Jmosi ndio watu wanakuwa kama wanawazim, wenye kuuuza,kukopa,kuchukua advanced Salaries,kuomba kwa watu kwa mtizamo kwamba ni wiki ya kitoboa

Hatimae Tangu umeanza kuomba,kuuuza vitu bado nafuuu hujaiona,kujipima Ingiza kwenye Lost record slip kisha utaona mtaji mkubwa uliopotea au pesa nyingii ulioingiza then thing on other to proceed or to terminate

Tuendelee Betting but kwa malengo otherwise at ages of 30 to 40 titakataana
Acha habari zako kama unapigwa ni wewe kaaa mbali hii ni kazi yetu wewe haikuhusu mkishapigwa mnageuka motivation spika
 
Toa laki 8 fanyia mambo mengine ya msingi

Halafu laki moja bet hadi upate kiwango unachotaka hata kama ni bilioni moja........ Utakuja kunishukuru baada ya hiyo laki kuliwa
Kabisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji817][emoji817][emoji12] baada ya laki kuliwa tenaaa.
 
Back
Top Bottom