Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Hao ndio tabia Yao, sometime unadeposit haifiki ukifuatilia wanasema waliirudisha kwako wakati hawakurudisha, mi walishanishindaHelbet jana nmeangaika kutoa pesa inakataa, wamezngua ikabid niibetie nzima nzima ipotee tu juu kwa juu
Mda ganiOfa kwa wateja wa halotel Gb1 kwa Tshs 1500 tsup no 0735025735
Voda hunaOfa kwa wateja wa halotel Gb1 kwa Tshs 1500 tsup no 0735025735
Waongeze tamaa wapigweWatu wamekata tamaaa
Voda kuna kifurush cha mwezVoda huna
Unatuma kwanza kifurushi?Ofa kwa wateja wa halotel Gb1 kwa Tshs 1500 tsup no 0735025735
Icho cha mwezi ndo bei gani mkuuVoda kuna kifurush cha mwez
Karib tsupUnatuma kwanza kifurushi?
Karibu tsup kwa uaminifu zaidVoda kuna kifurush cha mwez
Wee Kanjii wee usitutishe Kumpa Man UNITED odds nyingi Ili tuogope
Nassemajeeee Man united Win or Draw
Ila Mechi ya SIMBA mhhhh hapana siiweki mkeka wowote
Hakuna sure ODDSWenzenu wanaweka $200.
Wana bet mechi 3 (Arsenal, Real Madrid na Bayer Leverkusen). Odds zinakuwa 2.5
Anapata zake $500.
Wewe una bet kwa TZS 1,000. Kwa odds za 2.5 unapata TZS 2,500
Matokeo yake unaamua kuweka limkeka na mwisho mnaishia kulia Kila siku.