Andika usia kabisaNaenda kujinyonga
Ujinyonge alafu tabu zako umuachie nani??Naenda kujinyonga
ππ kanji anawabinua wakamalia hataree sanaAise apa napumzika kubeti kanji safari hii anapiga kwenye utosi imagine leeds anapigwa akiwa kwake.
View attachment 2962417
π€£π€£π€£π€£πππ wamba mmeamia kwa kindege nini mbona siwaoni humu?
Watu wanajiripua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kindege kuna mtu kimemlamba milioni 7 ndani ya wiki
Hicho hakifai kabisaa
Watu wengi SIMBA na Tottenham wamewalaza
Hii kampuni wanazingua sana sasaHawa paripesa watakuja sepa na mikwanja
Asubuhi nimedeposit kwa airtel now nacheki kwa withdrwal nakuta airtel haipo dadeki zao
Ndege haifai yaan ndani ya sekunde inakulambaπ€£π€£π€£π€£
Kindege kuna mtu kimemlamba milioni 7 ndani ya wiki
Hicho hakifai kabisaa
Watu wengi SIMBA na Tottenham wamewalaza