Wadau hivi nataka kufahamu kanji Huwa anatumia nguvu za Giza kuchawia mikeka yetu ama 🤔 nataka nijue kama naliwa kihalali ama Kuna external force😂
🤣🤣🤣🤣
Mdau unajua betting ni Sawa na kupiga Punyeto
Unamvitia Stim Wema Sepetu na unamtia Mimba kabisaa wakati yeye hata hakujui
Ukisikia Wema kachukuliwa na Whozu unamuacha na talaka na makasiriko juu,kisha unahama kwa JOKATE,ukisikia JOKATE amezaa unahama kwa Gigy Money
Sasa sio nguvu za kiza ila betting ni psychological oriented games
Yaani ukiwa na pesa uwezo wa kujiamini unazidi saaana,na ndio kupoteza kunazidi mnoo.
Ila ukiliwa sana akili zinatulia,
Kisha ni pale una stake na kuona pesa ndogo then tunaongeza teams Ili stake iwe unavyotaka wewe hapo ndio shida.
Muhim ni KuBET kimkakati,isiwe addicted.Ukiliwa just accept it and give it a time frame for another day to re-game .Ila ukiliwa na ukataka urejeshe pesa Yako ulioliwa aisee utachakaa,kuna mtu kapigwa laki 500,000 ndani ya wiki.
Select siku au mtaji wa betting kisha ukiisha tulia, subiria siku nyingine,kama unabeti through salary basi Tenga pesa maalum na isizidi otherwise huwezi Maisha mengine yataganda huku age inakatika.
Mie betting kwangu nimeitengea Fungu lake,yaani nilinunua Bodaboda BM125 HD 3,150,000 Hesabu yake ndio nafanyia betting,sigusi Mshahara Waka pesa ya Biashara Zangu nyingine
Ufupi hakuna nguvu za Giza,ila Shida mtu ukiwa na pesa unajiamini mnoo kupitiliza,ila pesa ikikata umakini unazidi mnoo.
So, unaliwa kihalali muhim Mdau ongeza umakini upunguze Vipigo.
All the Best Mdau