Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii man u kama ingewezekana kwenye kampuni la kubeti unaificha kabisa yaani isionekane.
 
Hii man u kama ingewezekana kwenye kampuni la kubeti unaificha kabisa yaani isionekane.
Aiseeee utafikiria makampuni yanajua🤣🤣🤣🤣

Crystal Palace ni wa kumpiga Man united Goal 2 ndani ya kipindi cha Kwanza 🤣🤣🤣🤣

Akikutana na Liverpool anakaza
 
Now
 

Attachments

  • Screenshot_20240505-202630.png
    78 KB · Views: 4
betting ni vita kali sana..

mwingine anaombea GG mwingine anataka NO GG kwa mechi hiyo hiyo😂😂😂

hawa watu wakikaa room moja watauana kwa maombi
 
06.05.2024
my fav. matches
Al Ahly win
Berkane win
Schalke 04 over 2.5
Al Nasr over 1.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…