Duh mkuuu hata mie naacha weka mitimu mingi
Mkuu hizi elfu 10 ni mpaka ufanye combo ndo usikie raha ya return.
Wanauchumi wanasema high risk high return pia large stake high return.
Nilisoma sana hapa foruk nikaona accumulation zina hasara sana kuliko singles.
kweli bro mfn ukiweka team moja ukaweka laki moja uhakika wa kula ni 90%
We jamaa una kizizi wewe c bure, embu nipe namba ya mganga wako..
Ukienda ktk betting shop yoyote uk ukiweka single bet alafu mkwanja mwingi, cashier lazima akuangalie usoni vizuri
Daaah kiukweli natamani sana niwe nabet kama huyu jamaa maana bet zake nyingi kashinda
Daaah kiukweli natamani sana niwe nabet kama huyu jamaa maana bet zake nyingi kashinda
Daaah kiukweli natamani sana niwe nabet kama huyu jamaa maana bet zake nyingi kashinda
You and me both brother
Daaah kiukweli natamani sana niwe nabet kama huyu jamaa maana bet zake nyingi kashinda
You and me both brother
inataka moyo sana,
As long as tupo kwenye forum moja. .kesho nitapost tena sahizi nasubiri mkeka mmoja utick ndo nilale kwa amani.
Denmark wanataka kuniharibia weekend
Mkuu ni very simple tu, kila siku ya game chagua team moja ya uhakika weka mkwanja wa maana,
Umenichekesha sana sababu hapa nina timu nasubiri ifunge goli moja tu nilambe mpunga.Dah mkuu umetufumbua macho yetu. Ila kiweka laki unaaweza usilale usiku
Biohazard wewe ni noma sana. Halafu cha kushangaza timu unazozidhamini hata hazijulikani kabisa.
Kesho mkuu nakuomba ukibet tupia hapa. Natembelea nyota yako boss. Ila mimi nitaanza na buku 50. Kilo nyingi sana aisee. Maana unaweza usilale eti kama alivyojisemea andybird.
Heheehehehee