Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Duh! Halafu betting ni kama ka ugonjwa hivi. Hapa penyewe nimeshikilia 5k nataka nikaiweke mtaji wa Aviator ila nafungua account mpya, halafu nacheza na akili zao za bandiaHela ya kubet Bora unywe supu utoe shavu
Duh! We acha tu. Yaani nilijiona kabisa nikiamka kesho yake, ntakuwa tayari tajiri, nipite Magomeni nikadake ka IST🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Uliwaza hadi kufungua na shule
Punguza tu tamaa, cheza na malengo yako epuka ngono za ovyo ovyo pisi nyingine jau full mikosiIpo hivi nina mtaji wa laki 5 ambao nataka ligi zikianza niwe na betia mpaka mwezi wa kwanza niwe na million 10 tu ndio lengo langu nimekuja kwenu Wana jamii forum je nitumie mbinu Gani Ili niweae kupata hicho kiasi kwenye betting ya mpira wa miguu nipo serious wadau sababu najua betting ni mtaji
Masihara yaani mechi zote hizo atoe over 1.5Mpe Man City game zake zote hadi December atoe over 1.5, tia laki 5 yako relax 😊
Sawa kakaPunguza tu tamaa, cheza na malengo yako epuka ngono za ovyo ovyo pisi nyingine jau full mikosi
Betting ni masihara ndo utatoboa, ukiwa serious utalia.Masihara hayo
SawaBetting ni masihara ndo utatoboa, ukiwa serious utalia.
Nenda na zile zile principles zako unaweka laki 6 unatafuta faida ya 10k.Ipo hivi nina mtaji wa laki 5 ambao nataka ligi zikianza niwe na betia mpaka mwezi wa kwanza niwe na million 10 tu ndio lengo langu nimekuja kwenu Wana jamii forum je nitumie mbinu Gani Ili niweae kupata hicho kiasi kwenye betting ya mpira wa miguu nipo serious wadau sababu najua betting ni mtaji
Umasikini mbaya sana Mimi nimeshakusahau kumbe bado unanifuatilia maisha yangu mzee fanya YakoNenda na zile zile principles zako unaweka laki 6 unatafuta faida ya 10k.
😁 What ifNenda na zile zile principles zako unaweka laki 6 unatafuta faida ya 10k.
Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kutushambulia kuwa sisi ni masikini,komaa na hizo profit zako za 10k mpaka January ufikishe mil 10.Umasikini mbaya sana Mimi nimeshakusahau kumbe bado unanifuatilia maisha yangu mzee fanya Yako
Wewe mwenye akili una balance kiasi Gani zaidi ya kuchezea vichapo tu fanya Yako mzee Sina shida na ushauri wakoMkiambiwa ukweli mnakimbilia kutushambulia kuwa sisi ni masikini,komaa na hizo profit zako za 10k mpaka January ufikishe mil 10.
No tahira pekee anaweza kuweka stake 600k akisubiri profit ya 10k
Nikikuonesha mikeka yangu utajiona dunderheadWewe mwenye akili una balance kisa Gani zaidi ya kuchezea vichapo tu
Onyesha sio unapiga keleleNikikuonesha mikeka yangu utajiona dunderhead