Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ipo hivi nina mtaji wa laki 5 ambao nataka ligi zikianza niwe na betia mpaka mwezi wa kwanza niwe na million 10 tu ndio lengo langu nimekuja kwenu Wana jamii forum je nitumie mbinu Gani Ili niweae kupata hicho kiasi kwenye betting ya mpira wa miguu nipo serious wadau sababu najua betting ni mtaji
 
Punguza tu tamaa, cheza na malengo yako epuka ngono za ovyo ovyo pisi nyingine jau full mikosi
 
Kampuni Gani unaweza kushinda mkwanja mrefu kwa sasa? Maana betpawa ilikua 800M wakapasuliwa Wakaweka 80M
 
Ipo hivi nina mtaji wa laki 5 ambao nataka ligi zikianza niwe na betia mpaka mwezi wa kwanza niwe na million 10 tu ndio lengo langu nimekuja kwenu Wana jamii forum je nitumie mbinu Gani Ili niweae kupata hicho kiasi kwenye betting ya mpira wa miguu nipo serious wadau sababu najua betting ni mtaji
Nenda na zile zile principles zako unaweka laki 6 unatafuta faida ya 10k.
 
Umasikini mbaya sana Mimi nimeshakusahau kumbe bado unanifuatilia maisha yangu mzee fanya Yako
Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kutushambulia kuwa sisi ni masikini,komaa na hizo profit zako za 10k mpaka January ufikishe mil 10.
No tahira pekee anaweza kuweka stake 600k akisubiri profit ya 10k
 
Wewe mwenye akili una balance kiasi Gani zaidi ya kuchezea vichapo tu fanya Yako mzee Sina shida na ushauri wako
 
Daah sijabet toka mwezi wa 5 yurooo yotee sijapoteza hata 100..! najiona nimeshaacha ila ligi ikirudiii pepoo naloo linarudiiii..
 
Oya wakuu ligi karibu zinaanza wakuu Mwenyezi Mungu atutangulie na kutufungulia njia tukawe na wepesi wa kuweka matukio ambayo yatatokea tukapate mitaji kiasi kwa wapambanaji wote amen
 
Back
Top Bottom