Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nipo betpawa nimesha claim rain wapi๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ watu wapo fasta kama mashine, mpaka kioo unaweza kusema kinataka kuvunjika aisee wadau kule noma๐Ÿ™Œ๐Ÿคฃ matusi Sasa ya kufikia
 
Nipo betpawa nimesha claim rain wapi๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ watu wapo fasta kama mashine, mpaka kioo unaweza kusema kinataka kuvunjika aisee wadau kule noma๐Ÿ™Œ๐Ÿคฃ matusi Sasa ya kufikia
Unaongea vitu gani
 
Kila la kheri
Hivi kati ya Aviator na Gold Rush ya Sportpesa ipi ngumu mkuu, ya Sportpesa ipo hivi Kuna mechi zipo 3 inatakiwa upatie mechi zote tatu kwamba ni timu Gani itakuwa ya kwanza kuifunga mwenzie na ni dk ya ngapi!?๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ Harafu Kuna mil 100 ๐Ÿ˜‚ hiyo hapo pia unacheza BURE uweki stake ๐Ÿ™Œ
 
Friendly mechi zote hizo bado huoni timu ya kucheza mpaka ucheze hizo takataka?
 
haya weekend imefika jaribu bahati yako
โšฝ Saturdayโ€™s Betting Tips โšฝ

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Palmeiras ๐Ÿ†š Vitoria - BA
๐Ÿ•‘ Saturday, 20.07.2024
๐Ÿšจ Prediction: Over 2.5 Goals โžก BET!

๐ŸŒ Manchester United ๐Ÿ†š Rangers FC
๐Ÿ•‘ Saturday, 20.07.2024
๐Ÿšจ Prediction: 1๏ธโƒฃ & BTTS YES โžก BET!

๐ŸŒ Rapid Vienna ๐Ÿ†š AC Milan
๐Ÿ•‘ Saturday, 20.07.2024
๐Ÿšจ Prediction: 1๏ธโƒฃ 2๏ธโƒฃ DC โžก BET!

โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–

โ“ mpambanaji hachoki pambana sana
 
Oya wakuu ligi karibu zinaanza wakuu Mwenyezi Mungu atutangulie na kutufungulia njia tukawe na wepesi wa kuweka matukio ambayo yatatokea tukapate mitaji kiasi kwa wapambanaji wote amen
Mungu mwenyewe hapendi tubeti hapo shida inapoanzia.
 
๐Ÿšจ RATIBA YA MECHI ZA KIRAFIKI LEO JUMAMOSI

๐ŸŸ 11:00 - Cono ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น โš”๏ธ Las Palmas ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

๐ŸŸ 12:00 - Girona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ โš”๏ธ Montpellier ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท

๐ŸŸ 14:00 - Feyenoord ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ โš”๏ธ Cercle Brugge ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช

๐ŸŸ 15:00 - Wimbledon ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ โš”๏ธ Brentford ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

๐ŸŸ 15:00 - VFB Stuttgart ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช โš”๏ธ Fortuna Sittad ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ

๐ŸŸ 16:00 - Yanga SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โš”๏ธ Augsburg ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช

๐ŸŸ 17:00 - Chesterfield ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ โš”๏ธ Sheffield United ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

๐ŸŸ 17:00 - Redbridge ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ โš”๏ธ West ham United ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

๐ŸŸ 17:00 - Luton Town ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ โš”๏ธ Goztepe ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท

๐ŸŸ 17:00 - QPR ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ โš”๏ธ Tottenham Hotspur ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

๐ŸŸ 17:00 - Spartak Trnava ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ โš”๏ธ Aston Villa ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

๐ŸŸ 17:00 - Villarreal ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ โš”๏ธ Leicester City ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

๐ŸŸ 18:00 - Rangers ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ โš”๏ธ Manchester United ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟFootball update todayen ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น โš”๏ธ AC Milan ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น

๐ŸŸ 19:00 - SSC Napoli ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น โš”๏ธ Mantova ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น

๐ŸŸ 19:00 - Sturm Graz ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น โš”๏ธ AS Monaco ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท
 
Wadau hapa Nataka nijue ipi kampuni Bora nataka niwekeze pesa kwenye betting hii miezi iliyobaki Ili nipate pesa ya ujenzi mwakani kwenye Kiwanja changu Sasa hapo ipi kampuni Bora kwenye hii tasnia Kwa mnaozijua vizuri ambayo Haina longo longo kwenye kutoa na kuweka pesa kiufupi kwenye malipo ipi ambayo Haina usumbufu
 
kama huijui betting, Nakushauri ujipe Elimu zaidi kuhusu biashara hii kabla hujaianza.

wengi tuliingia kwa mbwembwe sana!

kilichotokea ni hasara kubwa sana iliyotuachia addiction isiyoachika kirahisi
 
kama huijui betting, Nakushauri ujipe Elimu zaidi kuhusu biashara hii kabla hujaianza.

wengi tuliingia kwa mbwembwe sana!

kilichotokea ni hasara kubwa sana iliyotuachia addiction isiyoachika kirahisi
Naijua vizuri kuzidi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ