Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nipo betpawa nimesha claim rain wapi🤣😂 watu wapo fasta kama mashine, mpaka kioo unaweza kusema kinataka kuvunjika aisee wadau kule noma🙌🤣 matusi Sasa ya kufikia
 
Nipo betpawa nimesha claim rain wapi🤣😂 watu wapo fasta kama mashine, mpaka kioo unaweza kusema kinataka kuvunjika aisee wadau kule noma🙌🤣 matusi Sasa ya kufikia
Unaongea vitu gani
 
Kila la kheri
Hivi kati ya Aviator na Gold Rush ya Sportpesa ipi ngumu mkuu, ya Sportpesa ipo hivi Kuna mechi zipo 3 inatakiwa upatie mechi zote tatu kwamba ni timu Gani itakuwa ya kwanza kuifunga mwenzie na ni dk ya ngapi!?🤣😂 Harafu Kuna mil 100 😂 hiyo hapo pia unacheza BURE uweki stake 🙌
 
Friendly mechi zote hizo bado huoni timu ya kucheza mpaka ucheze hizo takataka?
 
haya weekend imefika jaribu bahati yako
⚽ Saturday’s Betting Tips ⚽

🇧🇷 Palmeiras 🆚 Vitoria - BA
🕑 Saturday, 20.07.2024
🚨 Prediction: Over 2.5 Goals ➡ BET!

🌍 Manchester United 🆚 Rangers FC
🕑 Saturday, 20.07.2024
🚨 Prediction: 1️⃣ & BTTS YES ➡ BET!

🌍 Rapid Vienna 🆚 AC Milan
🕑 Saturday, 20.07.2024
🚨 Prediction: 1️⃣ 2️⃣ DC ➡ BET!

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

❓ mpambanaji hachoki pambana sana
 
Oya wakuu ligi karibu zinaanza wakuu Mwenyezi Mungu atutangulie na kutufungulia njia tukawe na wepesi wa kuweka matukio ambayo yatatokea tukapate mitaji kiasi kwa wapambanaji wote amen
Mungu mwenyewe hapendi tubeti hapo shida inapoanzia.
 
🚨 RATIBA YA MECHI ZA KIRAFIKI LEO JUMAMOSI

🏟 11:00 - Cono 🇮🇹 ⚔️ Las Palmas 🇪🇸

🏟 12:00 - Girona 🇪🇸 ⚔️ Montpellier 🇫🇷

🏟 14:00 - Feyenoord 🇳🇱 ⚔️ Cercle Brugge 🇧🇪

🏟 15:00 - Wimbledon 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ⚔️ Brentford 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

🏟 15:00 - VFB Stuttgart 🇩🇪 ⚔️ Fortuna Sittad 🇳🇱

🏟 16:00 - Yanga SC 🇹🇿 ⚔️ Augsburg 🇩🇪

🏟 17:00 - Chesterfield 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ⚔️ Sheffield United 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

🏟 17:00 - Redbridge 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ⚔️ West ham United 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

🏟 17:00 - Luton Town 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ⚔️ Goztepe 🇹🇷

🏟 17:00 - QPR 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ⚔️ Tottenham Hotspur 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

🏟 17:00 - Spartak Trnava 🇸🇮 ⚔️ Aston Villa 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

🏟 17:00 - Villarreal 🇪🇸 ⚔️ Leicester City 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

🏟 18:00 - Rangers 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 ⚔️ Manchester United 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Football update todayen 🇦🇹 ⚔️ AC Milan 🇮🇹

🏟 19:00 - SSC Napoli 🇮🇹 ⚔️ Mantova 🇮🇹

🏟 19:00 - Sturm Graz 🇦🇹 ⚔️ AS Monaco 🇫🇷
 
Wadau hapa Nataka nijue ipi kampuni Bora nataka niwekeze pesa kwenye betting hii miezi iliyobaki Ili nipate pesa ya ujenzi mwakani kwenye Kiwanja changu Sasa hapo ipi kampuni Bora kwenye hii tasnia Kwa mnaozijua vizuri ambayo Haina longo longo kwenye kutoa na kuweka pesa kiufupi kwenye malipo ipi ambayo Haina usumbufu
 
kama huijui betting, Nakushauri ujipe Elimu zaidi kuhusu biashara hii kabla hujaianza.

wengi tuliingia kwa mbwembwe sana!

kilichotokea ni hasara kubwa sana iliyotuachia addiction isiyoachika kirahisi
 
kama huijui betting, Nakushauri ujipe Elimu zaidi kuhusu biashara hii kabla hujaianza.

wengi tuliingia kwa mbwembwe sana!

kilichotokea ni hasara kubwa sana iliyotuachia addiction isiyoachika kirahisi
Naijua vizuri kuzidi wewe
 
Naijua vizuri kuzidi wewe
Naijua vizuri kuzidi wewe

tumia kampuni ya huyu jamaa...
FB_IMG_1721237814521.jpg
 
Back
Top Bottom