Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SPORTYBET

4DF21B
 

Attachments

  • Screenshot_20240810_155134_SportyBet~2.jpg
    42.5 KB · Views: 5
Hivi premier bet nna miaka mingi sijaitumia juzi nkawajaribu kwa stake ndogo tu mkeka ukajibu,Leo nikaivuta kwa njia ya voucher tangu saa 7 mchana hivi hela imekatalia hewani,sio kesi ,kesi unapopiga simu kwao kutaka mssada na msaidizi anakata simu kabla ajakusaidia hii taasisi ya bodi ya kamari tanzania kuna watu watupishe pale wawekwe vijana wanaojua tekenolojia imefikia wapi
 
yeah wala usipate shida, ita pop up prompt kwenye simu yako wewe ni kuweka tu namba ya siri pesa za madafu zinakatwa kule inaingia $
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…