Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,653
- 2,792
Mkuu umetumia njia gani kudeposit kwa dollar?Sasa hivi sio shida, mpaka dollar tunaweka.View attachment 3065250
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umetumia njia gani kudeposit kwa dollar?Sasa hivi sio shida, mpaka dollar tunaweka.View attachment 3065250
Ukiweka kwa tigopesa ni bure bila makatoUnaweka kwa Mtandao unatoa kwa mtandao hakuna Shida YOYOTE, kila siku naweka na kutoa MWENYEWEEE
View attachment 3065494
Makato ni ya mtandao wa simu mzee sawa tu na ukinunua luku au huduma zingine hayahusiani na kampuni za kubetiMakato ni mazito aisee daaaaahView attachment 3065428
Pia kutoa hela kutoka kampuni ya kubet ni free na simple sanaMakato ni ya mtandao wa simu mzee sawa tu na ukinunua luku au huduma zingine hayahusiani na kampuni za kubeti
Kabla ya hapo ilikuwa Selcom Free.. Ina maana haya makato hawakuyaona kabla?Makato ni ya mtandao wa simu mzee sawa tu na ukinunua luku au huduma zingine hayahusiani na kampuni za kubeti
Biashara, kila mtu anataka faida maana sasa kila kitu kina makato kwa namna moja au nyingineKabla ya hapo ilikuwa Selcom Free.. Ina maana haya makato hawakuyaona kabla?
pamoja sana kwa jibu zuriBiashara, kila mtu anataka faida maana sasa kila kitu kina makato kwa namna moja au nyingine
Hii nini!!!???VBIGG1A
BetpawaHii nini!!!???
Hata Airtel naona hakuna makato hawa jamaa 1XBET wapewe Ulinzi..alaf ni TZ tu nchi zinazotuzunguka kote wamewekewa MakatoUkiweka kwa tigopesa ni bure bila makato
Akaunti yangu nili_add usd.Mkuu umetumia njia gani kudeposit kwa dollar?
Chenye iko wazi ni ..... 😂😂😂nikiwa bored tu huwa nachati chati na wazee wa kuuza.mikeka..
hata ukiwatukana hawajali😅😅View attachment 3066244
yeah wala usipate shida, ita pop up prompt kwenye simu yako wewe ni kuweka tu namba ya siri pesa za madafu zinakatwa kule inaingia $Akaunti yangu nili_add usd.
Nikitaka kudeposit nafata process zile zile na kwenye minimum wameweka kabisa.
Kwahiyo kwenye MPesa yangu wanaconvert wenyewe kulingana na kiwango nitachokuwa nimeweka kule 1xbet iwe kuweka au kutoa.View attachment 3066162View attachment 3066163