Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SPORTYBET

4DF21B
 

Attachments

  • Screenshot_20240810_155134_SportyBet~2.jpg
    Screenshot_20240810_155134_SportyBet~2.jpg
    42.5 KB · Views: 5
Hivi premier bet nna miaka mingi sijaitumia juzi nkawajaribu kwa stake ndogo tu mkeka ukajibu,Leo nikaivuta kwa njia ya voucher tangu saa 7 mchana hivi hela imekatalia hewani,sio kesi ,kesi unapopiga simu kwao kutaka mssada na msaidizi anakata simu kabla ajakusaidia hii taasisi ya bodi ya kamari tanzania kuna watu watupishe pale wawekwe vijana wanaojua tekenolojia imefikia wapi
 
Akaunti yangu nili_add usd.
Nikitaka kudeposit nafata process zile zile na kwenye minimum wameweka kabisa.

Kwahiyo kwenye MPesa yangu wanaconvert wenyewe kulingana na kiwango nitachokuwa nimeweka kule 1xbet iwe kuweka au kutoa.View attachment 3066162View attachment 3066163
yeah wala usipate shida, ita pop up prompt kwenye simu yako wewe ni kuweka tu namba ya siri pesa za madafu zinakatwa kule inaingia $
 
Back
Top Bottom