Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 3064648
Na kazia Betting site zote hua sio wajinga ukiwaona wa Jinga chukua Laki Mpe Simba ili Jion uje hapa unicheke uwe unaniita Mjinga huku umekula Hela.😂

Ule Msimu simbaanampiga Yanga 2 round ya Pili yanga alikua ameuliwa betting sites zote...

Msimu uliopita Match zote 2 simba alikua ameuliwa betting sites zote.

Hii Match ya Simba na Yanga msiichukulie kama Match ya Manchester City na United.

Uzi Tayar.
Haya mambo huwa hata sitaki kuyajua, nitaishia kuyasoma kwenye mabango tu
 
Inakuaje kampuni zinakuwa na uhuni mwingi game ya azamu coast imeeisha .na mi niliweka mechi iishe na goli 5 mkeka mwengine goli 6 na mwengine goli 7 lakini mpira umeisha dakika 20 zimepita kwenye mkeka ukifungua unasoma coast 1 azam 3 mara coast 1 azam 2
 
Back
Top Bottom