Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu umekuwa kama watu wa dodoma, maana wengi wao ndio hupenda kutoa directions kwa kutumia hayo maneno kaskazini, kusini, mashariki na magharibi, ungesema tu goli la kulia au kushoto ukiwa unaingia
Watu wa Mpira hasa wanaoingia mara kwa mara Uwanjani hapo wameshajua na kunielewa isipokuwa na Majuha tu.
 
IMG_2681.jpeg
 
Oohh safi, sikujua kama jamiiforums inatumiwa na watu waliowahi kuingia kwa mkapa tu, kama wote wamekuelewa basi ni vizuri
Mshindi wa TUZO YA SHINDANO LA JUKWAA LA MICHEZO ( SPORTS ) JAMIIFORUMS kwa MSIMU WA 2022 / 2023 GENTAMYCINE hajawahi Kueleweka na wale Wanamichezo wa kweli hapa JamiiForums na ndiyo maana ana Followers wengi na ANASOMWA na KUKUBALIKA mno.

Imeisha hiyo.....!!
 
Sikujua kama una ulimbukeni kiasi hiko
 
Una mipasho sana we dada, kwani hakuna jukwaa la taarabu ?
 
Screenshot_20240808-171816_1xBet.jpg

Na kazia Betting site zote hua sio wajinga ukiwaona wa Jinga chukua Laki Mpe Simba ili Jion uje hapa unicheke uwe unaniita Mjinga huku umekula Hela.😂

Ule Msimu simbaanampiga Yanga 2 round ya Pili yanga alikua ameuliwa betting sites zote...

Msimu uliopita Match zote 2 simba alikua ameuliwa betting sites zote.

Hii Match ya Simba na Yanga msiichukulie kama Match ya Manchester City na United.

Uzi Tayar.
 
Back
Top Bottom