Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wa premier bet wameliwa kimasikhara.

Kwenye game ya Jana Kati ya France na Egypt, France alishinda lakini cha ajabu wale wote walioweka mzigo kwa France wameandikiwa "Imepoteza".

Ha ha haaaa... angalieni mikeka yenu.
 
Unapobeti normal unakuwa umeingia mkataba halali kati ya mbetiji na bookie kwamba matokeo yatakayotumika ni yale ya dakika 90 + na zile za nyongeza anazoongeza refa kutokana na upotevu wa muda.

Matokeo yoyote yatakayotokea nje ya hapo yaani EXTRA TIME hayatatambulika kwenye mkataba na ndicho kilichotokea kwenye hii mechi.
 
Kuna mshkaj huwa anantumia correct score 🆓 kabsa ila changamot yake znakuwa flashbet tu.
Jana katuma 55 ODDS zmetoa

Leo kamtumia hizi👇

🧨Attention - free match - inside

⚽️ Football: USA. Framington Cup
⚔️ Teams: Grankula IFC - Uurijad
❇️ Correct score: 0:2
ODDS 27.3
 
hiyo mechi haipo Google wala kwenye bookies wa kawaida. mechi ya kiupigaji hiyo.

usikute hata mechi zake nyingine anazopostigi ni za dizaini hii.
 
ukitaka kuamini betting ni ngumu:
-unasikiaga tu kwamba fulani ana upepo/mtaalam kweli wa kubet, anaendesha maisha kwa betting. wewe daily unakukuruka huambulii kitu.
-mechi unayochagua inachana, unazoacha zinatiki.
-mikeka yako inachana timu moja.
 
Back
Top Bottom