Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ukitaka kuamini kwamba betting haina uhakika, linganisha confidence unayokuwa nayo wakati wa kuweka mikeka na kucheki matokeo ya mikeka.

unapochambua na kuweka mikeka unakuwa na confidence ya hali ya juu. unapocheki matokeo ya mikeka sasa, kimbembe, roho inakuwa inadunda na haujiamini kabisa.
 
Wakuu itifaki imezingatiwa

Naombeni odds 5 tu nipate pesa ya kula
Hapa nimebakiwa na Tsh 4500 nahitaji inanipe kula kwa zaidi ya siku tatu
 
20240805_172148.jpg
 
Betika kwa option ya over kwa hizi game za kirafiki unaona kabisa anaitafuta hela yako kwa nguvu.

Unakuta game matokeo ni 1-0 HT
halafu yeye anaanzia na over 2.5 kwa FT.

Au prematch unakuta ameanzia na over 1.5 wakati mrusi game hiyo hiyo ameanzia over 0.5.
Mrusi ndiyo mzuri apo.
 
GG2+ timu zifungane na kila timu iwe na magoli mawili ama zaidi. Mfano 2-2, 3-2, 3-4 etc

GN+ timu moja isipate goli (timu zisifungane) na timu itakayoshinda iwe na goli kuanzia 2
GN+2 ikiwa 2-1 mkeka umewin
 
GG2+ timu zifungane na kila timu iwe na magoli mawili ama zaidi. Mfano 2-2, 3-2, 3-4 etc

GN+ timu moja isipate goli (timu zisifungane) na timu itakayoshinda iwe na goli kuanzia 2
Shukrani sana, angalau nimepata mwanga
 
Back
Top Bottom