Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
Nimeacha kubeti rasmi leo... naisi nina gundu
Bora utumie betway
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeacha kubeti rasmi leo... naisi nina gundu
🍗🍗🍗🍗🍗6FD62D
odds 4.52
Sportbet.
Mkuu hii code ni ya app gani nijilipue pia
Mrusi ndiyo mzuri apo.Betika kwa option ya over kwa hizi game za kirafiki unaona kabisa anaitafuta hela yako kwa nguvu.
Unakuta game matokeo ni 1-0 HT
halafu yeye anaanzia na over 2.5 kwa FT.
Au prematch unakuta ameanzia na over 1.5 wakati mrusi game hiyo hiyo ameanzia over 0.5.
Sawa mkuu 🤣Wananguuu wamikekaaa
Wanangu siburini league zirud hakuna mtu atalala njaa humu as long as ntakuwa hai💪
GN+2 ikiwa 2-1 mkeka umewinGG2+ timu zifungane na kila timu iwe na magoli mawili ama zaidi. Mfano 2-2, 3-2, 3-4 etc
GN+ timu moja isipate goli (timu zisifungane) na timu itakayoshinda iwe na goli kuanzia 2
MECHI MOJA IMEHARIBU.73IK8JG
Odds 3.61
Betpawa
ACha wogaaa tatizo we unaweka nyumba ikiwana familiaNina miezi sasa sijagusa betting, eeeh Mwenyezi baba nibariki niache kabisa. Maana siyo kwa stress zile, usiku wakuongea mwenyewe kweli 😂
Shukrani sana, angalau nimepata mwangaGG2+ timu zifungane na kila timu iwe na magoli mawili ama zaidi. Mfano 2-2, 3-2, 3-4 etc
GN+ timu moja isipate goli (timu zisifungane) na timu itakayoshinda iwe na goli kuanzia 2
Wengi ni Wanigeria changua nchi NigeriaMbona kila niki copy naambiwa invalid?
Sahihii kabsaaaa.Hapa hamna faida kiongoz, ukiliwa moja tu unaishaa