charlesfundi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 220
- 289
wakuu leo nina laki nataka nijaribu hi uefa qualifications wakuu naombeni ata odds 10 au 5 tafadhali last week amenipiga mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapobeti normal unakuwa umeingia mkataba halali kati ya mbetiji na bookie kwamba matokeo yatakayotumika ni yale ya dakika 90 + na zile za nyongeza anazoongeza refa kutokana na upotevu wa muda.Wale wa premier bet wameliwa kimasikhara.
Kwenye game ya Jana Kati ya France na Egypt, France alishinda lakini cha ajabu wale wote walioweka mzigo kwa France wameandikiwa "Imepoteza".
Ha ha haaaa... angalieni mikeka yenu.
HatarQurabag anazamisha jahazi kwa normal
hiyo mechi haipo Google wala kwenye bookies wa kawaida. mechi ya kiupigaji hiyo.Kuna mshkaj huwa anantumia correct score 🆓 kabsa ila changamot yake znakuwa flashbet tu.
Jana katuma 55 ODDS zmetoa
Leo kamtumia hizi👇
🧨Attention - free match - inside
⚽️ Football: USA. Framington Cup
⚔️ Teams: Grankula IFC - Uurijad
❇️ Correct score: 0:2
ODDS 27.3
Ni kweli, lakin imewekwa kwenye flashbethiyo mechi haipo Google wala kwenye bookies wa kawaida. mechi ya kiupigaji hiyo.
usikute hata mechi zake nyingine anazopostigi ni za dizaini hii.
Somakama wamempiga ban hahahaaa nicheke mie enzizile mpaka wakachoka humu ndan khna makampun so wakiona wty wanaleta tips za won mimbaKiongozi upo? Naona unamtungua tuu😀😀😀
Gg&3+Mbona haipo hii
bookie ya kitapeli hiyo, baada ya miezi kadhaa itafutika, itazuka nyingine.Ni kweli, lakin imewekwa kwenye flashbet
Sportpesa wamewekaWakuu mechi za ngao ya jamii mbona hazipo