Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo huwa hata sitaki kuyajua, nitaishia kuyasoma kwenye mabango tuView attachment 3064648
Na kazia Betting site zote hua sio wajinga ukiwaona wa Jinga chukua Laki Mpe Simba ili Jion uje hapa unicheke uwe unaniita Mjinga huku umekula Hela.😂
Ule Msimu simbaanampiga Yanga 2 round ya Pili yanga alikua ameuliwa betting sites zote...
Msimu uliopita Match zote 2 simba alikua ameuliwa betting sites zote.
Hii Match ya Simba na Yanga msiichukulie kama Match ya Manchester City na United.
Uzi Tayar.
habari mkuuDah nimeumia sana kutoibetia live mechi ya azam , ningepiga hata 80k.Natia zangu 100k odd ikiwa 1.85 wakati huo.
Hii mechi meridian odd ni 1.88.
Cheza na kampuni ya Sportbety harafu weka double chancehabari mkuu
Nataka nibeti Yanga vs Simba ataeshinda mechi kwa matokeo yoyote yawe ya dakika 90, dakika za nyongeza, matuta, n.k.
nichague option ipi na kampuni ipi nzuri
Hio double chance nachaguaje timu itayoshinda na kuckeza fainali ?Cheza na kampuni ya Sportbety harafu weka double chance
1x ashinde Yanga au drawHio double chance nachaguaje timu itayoshinda na kuckeza fainali ?
Hio double chance na ni 90 min tu,Huyo anata bet iwe valid hata ET na matuta.So option ni ile ya To Qualify ndio inaaply hapa hapo kwa mujibu wa jamaa.Hio double chance nachaguaje timu itayoshinda na kuckeza fainali ?
Upo wapi?Hakuna ukweli hapo. Yanga na azama hali ilikuwa tofauti.
Unaweka match nyingi we chukua moja ona saiv Simba kashakula chuma😂😂Kanj alishakula pesa yangu nyingi kwa kufuatisha odds zake. Nilikuwa naweka stake kubwa kwa anayepewa nafasi ya kushinda, ila nilichokuwa nakutana nacho sasa...! 🙆
Nasubiri hela we mbuzi na nitakuonyesha mamakeKama betting ni rahisi hivyo weka mpunga wa maana hapo kwa Yanga ndio uje ujue hujui