Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


asante xyz123.....sahivi na mimi napiga pesa....ila nabet baada ya 2Q kuisha (half time).....asante kaka
 
Umenichekesha sana sababu hapa nina timu nasubiri ifunge goli moja tu nilambe mpunga.
Sasa nikipimwa bp hapa nitaanzishiwa dozi ya presha na hiyo tim ilishapigwa 2 bila. Ipo kwenye live play ligi ya finland pk 35 na HIFK

daaah, ila we jamaa ni sheeda humu ndani! dah
 
Mkuu mambo mengine hayasahauliki kiwepesi aisee.

Haahaahaaah

Mie nimemaliza betting kwa leo.

Kesho tena nitaweka tips, hii game ya mwisho nilibet mapema ndo maana odds zimekua ndogo (1.65) ila baada ya second half zilifika 3.4 nikaona tamaa itaniumbua ngoja niridhike na nilichotarajia toka mapema.
 
Mwenzetu anatusua coz anafanya hii kitu kama business, hakuna kuremba team 1 hela ya maana akishinda anaaanza tena kesho, mwishoni mwa wiki ana 500.000 kiulainiiii , sie tunaweka mikeka ya team 10 kwa sh.5000 tushinde mili.4
 
asante xyz123.....sahivi na mimi napiga pesa....ila nabet baada ya 2Q kuisha (half time).....asante kaka

Mkuu sasa kuna vimechi havielewekieleweki. Vinaweza kuwa na point nyingi half ya kwanza half ya pili ikawa chenga.
 
Faroe Islands wamedinda leo dah!! HT/FT itaniua jamani
 
Naona weekend hii nimepigwa, business closed! Kesho panapo uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…