Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Hahahahahaha.....umenichekesha sana sababu unatakiwa usahau kabisa kama umebet ww subiri kesho uangalie mzigo.
Mkuu mambo mengine hayasahauliki kiwepesi aisee.
Haahaahaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha.....umenichekesha sana sababu unatakiwa usahau kabisa kama umebet ww subiri kesho uangalie mzigo.
wakuu nilikuwa kazi zimenibana kidogo, Ila hapa mimi napenda kubet basketball kipengele cha magoli mengi kwani naona ni rahisi kupiga pesa na pesa unayopiga katika mechi ni almost twice ya pesa unayowweka. maana odds zake zinakuwaga around 1.7 na 2.1. Hapa huwa napenda kuweka over, kwa beginnerinatakiwa uweke mzigo pale mechi inapokuwa katika imemaliza 1st quater, Hapa mtu unakuwa na wezo wa kupredict kwani simply prediction ambayo huwa naitumia kupata jumla ya magoli kwa mechi yote ni huwa nachukua jumla ya magoli ya first quater then nazidisha kwa 4, then hapo napata picha kuwa mechi inakwendaje.
Baada ya kuona hivyo, then unaangalia kama limit ya OU odds alokuwekea je somehow zinaendana na jawabu ulopata baada ya kuzidisha mara 4.? if yes, weka mzigo katika category ya over, kwa maana kwa research niliyoifanya individual quater zinazofuatia huwa zinakuwaga na sum ya magoli mengi kuliko quater ya kwanza or sum ya quater ya 2, 3, 4 kwa pamoja huwa zinakuwa zaidi ya mara tatu ya quater ya kwanza.
kumaster vizuri, just anza kwa kutest kuweka pesa ndogondogo ili uwe unachukua mazoezi , theni ukimaster ndio uanze kujilipua. kwa wale wanaotumia simu tumia browser ambazo zinarun javascript files, Opera hairun javascript, browser inayorun nzuri ambayo javascript na ninayoitumia mimi ni Baidu browser kwa wale wa android waweza pakua katika app store.
Hii ni nzuri kwani inakufanya uwe unamonitor mtaji wako unavyokwenda katika soko la hisa, sometimes nikiona kuwa mbele hakuendeki (kama game inaelekea kuwa unde what nilichoweka) huwa narudisha mpira kwa kipa kwa kugenerate mkeka mwingine ambao una pesa category ya under ili mwisho mikeka ijicancel out na niwe na 0/minimum pprofit/loss. sometimes huwa navamia tenis, kwani yenyewe almost 90% ya games zake mwenye odds ndogo mwanzoni mwa mechi ndiye mshindi na huwa haina draw.
kumbuka kubet what you can afford to loose. Karibuni rahim_baharia na Fibonacci, ni hayo tuu.
Umenichekesha sana sababu hapa nina timu nasubiri ifunge goli moja tu nilambe mpunga.
Sasa nikipimwa bp hapa nitaanzishiwa dozi ya presha na hiyo tim ilishapigwa 2 bila. Ipo kwenye live play ligi ya finland pk 35 na HIFK
Mkuu mambo mengine hayasahauliki kiwepesi aisee.
Haahaahaaah
We jamaa wewe hufai hata kidogo..,,
Kwann aisee mkuu, si niliweka tips kabisa tena mapema. Ila sio mbaya ngoja tusubiri kesho.
asante xyz123.....sahivi na mimi napiga pesa....ila nabet baada ya 2Q kuisha (half time).....asante kaka
Naona weekend hii nimepigwa, business closed! Kesho panapo uhai
Faroe Islands wamedinda leo dah!! HT/FT itaniua jamani
mkuu uliwaua maana wote dk ya 72 na washapigwaPortugal, Greece wamesha funga kazi