Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwema viongozi????
poleni sna na majukumu
wazee wenzangu wa matreni
kuna treni hapa linaanza leo hadi j2
kampuni : sportybet
stake : yeyote kuanzia 500
code : C6445E
NB : kua makini na cashout unapoanza kupata mashaka
NB : BETI KISTAARABU,KUBASHIRI SIO KAZI WALA AJIRA...NI MICHEZO KWA AJILI YA KUJIFURAHISHA
 
Unajifurahisha huku unaweka hela hii kali
 
Msipende sana kutumia hizo kampuni local. Hizo type za betpawa, sportybet n.k
Kunawaka mkekabet waliwahi kupita na pesa za watu wengi tu na ikaishia hivyo

Tumie zile kubwa, japo zenyewe changamoto ni deposits maana bado mifumo yao haipo vizuri sana na haya makampuni yetu ya simu
 
Kampuni hizi local ni za kipumbavu
Kuna watu wale wa kujilipua anaweka mil 50 kwa odds ya 1.5 tu, lakini kwa hizi kampuni haziwezi. Wengi wanaoweka pesa ndefu wanakimbilia za kirusi

Kuna jamaa yangu aliweka mil 70 kwa odds ya 1.2 akampa Madrid ushindi jana
 
Mzee acha uongo sporty bet ndio kampuni ambayo Haina utapeli ukilinganisha na hayo makampuni Yako ya kirusi Kila mda huduma za withdrawal zinatolewa mara zinarudishwa si uswahili tu hup hamna lolote Kuna jamaa aliwin million 50 akaanza kuuliza mambo ya vitambulisho vya taifa wakati sportybet hamna hizo mambo siwezi kuweka pesa yangu kampuni ya mrusi hata siku Moja sporty bet ndio kampuni ya uhakika Kwa upande wangu
 
Mkuu kampuni za Mrusi zinataka uhakika. Zinataka uthibitisho wako. Siku si nyingi utahamia huku. Wewe ni sawa na mtu anaye ona M-bet ndiyo kampuni bora la kubetia kwa sababu tu hajawahi kujaribu kampuni nyingine. Mrusi ana raha yake bwana.
 
Asante mkuu. Wengi kinachowashinda ni namna ya kutumia labda. Huwezi linganisha kampuni dagaa na kampuni nyangumi. Siku wakijua kutumia kampuni za mrusi ndiyo watajua unaongelea nini hapa.
Baada ya muda watu watazoea mifumo tofauti, bongo kubadilika huchukua muda
Zamani kulikua na kubet kwa kutumia makaratasi (japo bado wapo wanaotumia hii) lakini siku hizi ni app tu kwenye simu unafanya mambo na hakuna anayejua Kama umebet au laa, tofauti na zamani
 
Mkuu kampuni za Mrusi zinataka uhakika. Zinataka uthibitisho wako. Siku si nyingi utahamia huku. Wewe ni sawa na mtu anaye ona M-bet ndiyo kampuni bora la kubetia kwa sababu tu hajawahi kujaribu kampuni nyingine. Mrusi ana raha yake bwana.
Sina haha ya kuhamia huko sababu option ninazobetia zipo sportybet na nafurahia kuwa sportybet sitaki habari za kuweka pesa sehemu halafu nihofie mara wanaweza kutoa njia za kuwithdraw Mimi sitakagi konakona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…