The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Wewe ni kichaa! Niweke hela alafu unipangie kiasi cha kutoa?Wewe ndiyo uelewa wako mdogo. Kampuni za Mrusi ukiweka hela lazima ubetie kwanza ndipo utoe. Huwezi toa hela kama hujabetia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni kichaa! Niweke hela alafu unipangie kiasi cha kutoa?Wewe ndiyo uelewa wako mdogo. Kampuni za Mrusi ukiweka hela lazima ubetie kwanza ndipo utoe. Huwezi toa hela kama hujabetia.
Sawa mkuu Incase siku nyingine mfumo huo usipokuwepo unaweza edit sehemu ya namba tu paleAmesharudisha mfumo wa M pesa tayari🥂🍷🥂🍷🥂🥂✅✅✅✅✅
Kabla hujaanza kutumia kampuni yoyote ya kubetia jitahidi kusoma vigezo na masharti mkuu.Wewe ni kichaa! Niweke hela alafu unipangie kiasi cha kutoa?
Kabla hujawa chawa wa kampuni za watu, ni vyema uelezee kila kituKabla hujaanza kutumia kampuni yoyote ya kubetia jitahidi kusoma vigezo na masharti mkuu.
😂😂 kanji huyu huyu?Wakuu natafuta kampuni nzuri yenye option za kutosha ambayo Haina cash out nataka jiandae kitu kimoja hatari sana Kwa muhindi kinipe mamilioni
Huyu huyu😂😂 kanji huyu huyu?
Kila lakheri mkuuHuyu huyu
Unajifurahisha huku unaweka hela hii kalikwema viongozi????
poleni sna na majukumu
wazee wenzangu wa matreni
kuna treni hapa linaanza leo hadi j2
kampuni : sportybet
stake : yeyote kuanzia 500
code : C6445E
NB : kua makini na cashout unapoanza kupata mashaka
NB : BETI KISTAARABU,KUBASHIRI SIO KAZI WALA AJIRA...NI MICHEZO KWA AJILI YA KUJIFURAHISHA
Mkuu nikutumie Code Ubeti PARIPESA Leo? Maana naona umejaa negatives sana.Kabla hujawa chawa wa kampuni za watu, ni vyema uelezee kila kitu
Tayari Kiongozi wangu🔥🔥✅✅🙏🏻🙏🏻🙏🏻Umetoa mkuu?
Msipende sana kutumia hizo kampuni local. Hizo type za betpawa, sportybet n.kWakamalia leo niliona jamaa Kenya, anasema wanabeti Aviator lakini wakila hela nyingi akaunti zinafutwa.
Kuna mmoja anasema alikula wakamwambia athibitishe yeye sio roboti.
Hapa kwetu nakumbuka wakati nipo chuo kuna hii kampuni inawadhamini simba(hiyo hiyo inayokaa tumboni) jamaa flani walishinda hawakupewa pesa yote, ilikuwa hivi waliweka mkeka online then waka screenshot halafu mechi zilipoisha wakakuta wameliwa. Kuangakia vizuri kuna mechi wao hawakuziweka zimebadilishwa wakawekewa zilizo zingua. Wakafatilia wakapewa hela kidogo tena kwa mbinde sana.
Why nakupa hii, kuna IT yupo kampuni moja maarufu hapa Tanzania anasema huwa ndio michezo kubadilisha timu hasa kama umeweka mkeka wa timu 30 au hata 50 wengine, hapo wanakuwa na imani huzikumbuki zote, lakini hata ukikumbuka wana nguvu ya mfumo unachoonesha huwezi washitaki.
So kama wewe umewekeza ku bet online hakikisha unatoa copy ya mkeka wako iwe screenshot au record ila hakikisha uko makini jamaa hawataki kuliwa sasa hivi.
Kampuni hizi local ni za kipumbavuWakiongozwa na kampuni ya Sport Pesa yaani wale hata ukila hela ndogo wanakupunguzia odd wakulipe kidogo. Kuna siku niliweka stake ya sh 100 tuu ikawa inaleta 7000 mkeka ukatiki wakanilipa 3000 na odds zikabadilika uzuri zamani ilikuwa ukibet wanakutumia copy ya mkeka kwenye meseji ila nikawapotezea ingekuwa hela kubwa ningedeal nao. Siku hizi wameacha kutuma copy ya team ulizobet kwenye meseji wanapunguza odds vibaya...hao ndio vinara wa wizi
Mzee acha uongo sporty bet ndio kampuni ambayo Haina utapeli ukilinganisha na hayo makampuni Yako ya kirusi Kila mda huduma za withdrawal zinatolewa mara zinarudishwa si uswahili tu hup hamna lolote Kuna jamaa aliwin million 50 akaanza kuuliza mambo ya vitambulisho vya taifa wakati sportybet hamna hizo mambo siwezi kuweka pesa yangu kampuni ya mrusi hata siku Moja sporty bet ndio kampuni ya uhakika Kwa upande wanguMsipende sana kutumia hizo kampuni local. Hizo type za betpawa, sportybet n.k
Kunawaka mkekabet waliwahi kupita na pesa za watu wengi tu na ikaishia hivyo
Tumie zile kubwa, japo zenyewe changamoto ni deposits maana bado mifumo yao haipo vizuri sana na haya makampuni yetu ya simu
Mkuu kampuni za Mrusi zinataka uhakika. Zinataka uthibitisho wako. Siku si nyingi utahamia huku. Wewe ni sawa na mtu anaye ona M-bet ndiyo kampuni bora la kubetia kwa sababu tu hajawahi kujaribu kampuni nyingine. Mrusi ana raha yake bwana.Mzee acha uongo sporty bet ndio kampuni ambayo Haina utapeli ukilinganisha na hayo makampuni Yako ya kirudi Kila mda huduma za withdrawal zinatolewa mara zinarudishwa si uswahili tu hup hamna lolote Kuna jamaa aliwin million 50 akaanza kuuliza mambo ya vitambulisho vya taifa wakati sportybet hamna hizo mambo siwezi kuweka pesa yangu kampuni ya mrusi hata siku Moja sporty bet ndio kampuni ya uhakika Kwa upande wangu
Baada ya muda watu watazoea mifumo tofauti, bongo kubadilika huchukua mudaAsante mkuu. Wengi kinachowashinda ni namna ya kutumia labda. Huwezi linganisha kampuni dagaa na kampuni nyangumi. Siku wakijua kutumia kampuni za mrusi ndiyo watajua unaongelea nini hapa.
Sina haha ya kuhamia huko sababu option ninazobetia zipo sportybet na nafurahia kuwa sportybet sitaki habari za kuweka pesa sehemu halafu nihofie mara wanaweza kutoa njia za kuwithdraw Mimi sitakagi konakonaMkuu kampuni za Mrusi zinataka uhakika. Zinataka uthibitisho wako. Siku si nyingi utahamia huku. Wewe ni sawa na mtu anaye ona M-bet ndiyo kampuni bora la kubetia kwa sababu tu hajawahi kujaribu kampuni nyingine. Mrusi ana raha yake bwana.