Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


🔥ACCUMULATOR OF THE DAY ON PARIPESA.

Booking Code: YMQF9

Bet Katika PARIPESA. Kama huna akaunti ya PARIPESA jisajili kwenye link hizo hapo chini na weka Promo Code TIPS2424 👇👇.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉👉 TIPS2424

N.B BET KIASI AMBACHO UP0 TAYARI KUPOTEZA.
 
Daah una moyo sana mkuu.. Yaani kila lawama unaijibu. Mtu kama ni kichwa ngumu achana nae wala usijieleze sana. Yaani mtu anasema eti umemuingiza chaka.
 
Hakuna anayesema ameingizwa chaka. Ninachosema mimi ni jamaa kutuma won pekee ili kuwavutia watu kwenye hiyo kampuni. Tena hatumi won tu, bali anatuma na tangazo la kujiunga na kampuni fulani ya kubet.

Unajua kwanini hatumi lost ticket?

Nikupe mfano mdogo tu, hapa anasema amepata faida ya 80k jana. Wakati alituma mikeka 5 ambayo thamani yake ilikua ni 1900000.

Mkeka uliotoa ni mmoja tu ambao stake ilikua 100k faida ikawa 80k.

Akija mtu ambaye hakufuatilia mlolongo wa code za jana, tayari anaingia chaka kuwa jamaa ni kuwin tu huko paripesa. Kumbe aio kweli. Lost zipo za kutosha kama huku tulipo.

Hili ndilo ninalolisema mimi. Sijaanza leo kubet nilalamike yeye kuniingiza chaka
Daah una moyo sana mkuu.. Yaani kila lawama unaijibu. Mtu kama ni kichwa ngumu achana nae wala usijieleze sana. Yaani mtu anasema eti umemuingiza chaka.
 
Well, nimekupata vizuri maelezo yako. Of course hawa wanaojiita punters ambao wana promo codes kuna technics wanazitumia ili kunufuaika.

Na ili kuwashika watu zaidi unakuta anaonesha mafanikio tu ila mkeka ukichana anapotezea. Na wengine wanapewa hadi demo account wewe unajua ni real money kumbe unapangwa.

Yote kwa yote, kuna codes wanatoa na zinatick fresh tu na nyingine zinachana.

Sasa kibaya ni ile mtu kuanza kulaumu as if kuna mtu amemwambia kwamba hii itatoa 100%.
 

⁣Bet Of The Day On PARIPESA

Bet Katika PARIPESA Kwa Kujisajili Kupitia Link Hizo Hapo Chini. Promo Code Weka TIPS2424 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Booking Code: PQM49

Weka Promo Code: TIPS2424 wakati unajisajili upate bonus ya mpaka TZS 250000 utakapoweka pesa kwenye akaunti yako ya PARIPESA.
 
naona mikeka yako karibu yote game ya Jkt vs Azam umeipa over 1.5 goal.
vp azam akishinda 1 kwa bila?
utakuwa umeachana yote..
nimeifata mikeka yako lakini nimechambua baadhi ya mechi.
nashukuru..
Vizuri Mdau kwa ku edit Ili nisibebe lawama

This is betting with no guarantee

Hakuna aliejua kama Azam atakula 4 kwa Simba au atafungwa na APR
Ila wasi wasi ndio akili ndugu

Akili Yangu inaniambia hii match I'ma over 2.5,goals zipo tu leo za Kutosha
JKT usajili Mzuri,Kina Ndemla,Boko na wengine kibao,huku Azam akirudi kama mbogo
Pia uwanja wa JKT pitch nzuri Sana tu

Tuendelee kuyajenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…