Hawezi kushinda huyo kashazinguanaona mikeka yako karibu yote game ya Jkt vs Azam umeipa over 1.5 goal.
vp azam akishinda 1 kwa bila?
utakuwa umeachana yote..
nimeifata mikeka yako lakini nimechambua baadhi ya mechi.
nashukuru..
nilimtaadharisha mapema, umeona sasa alichokifanya azam, nashukuru nilimfuata kwa 2xHawezi kushinda huyo kashazingua
Kachana mkekaAzamHapo kwa Azam inategemea na option,,, timu imeingia umande
Nadhani hujanielewa namaanisha kuna games nyingi unaweza kubet kiasi kikubwa cha pesa(zaidi ya mil 100) lakini kitu kama hicho huwezi kukuta kwenye kampuni zingineMkuu mimi natumia zaidi 1xbet
Kuna wakati tulikua hadi tuna deposit/withdraw kwa Bitcoins kwasababu ya machaguo mengi na rahisi kutumia
Mkuu 1xbet wana limit pia kutokana na hadhi ya game/league
Ligi zote za kichovu kama ligi zetu za Bongo wana limit stake kwasababu ni rahisi kupanga matokeo
Uzuri ni kwamba kabla hujabet wanakuonyesha kabisa kiwango cha chini na cha juu cha stake unaweza kustake
Jaribu kuangalia ligi daraja la kwanza Tz uone maximum stake ni sh ngapi ukilinganisha na EPL
Ungeirinda japo ata kwa double chance, Azam game alikuwa hapigwi Kuna draw au ashinde goliAzam kwaheri ya kuonana!
kaondoka na mtaji wote nilioupata wiki nzima.......
hii timu ni bonge la hasara, yani hata kagoli kamoja kweli?
Ser typing...Paripesa wa kautapeli ukiwin Pesa.Hapo nifanye nini?
Angalia sababu inayofanya usitoe hela. Kutakuwa kuna vigezo hujavikamilisha mkuu. Bonyeza find out reason for refusal majibu yatakuwa hapo.Paripesa wa kautapeli ukiwin Pesa.Hapo nifanye nini?
Kivipi? Toa tips basi[emoji848]Leo Yanga anawapa hela wenye mitaji mikubwa ndo amebaki mwenye uhakika