Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Helsinki
Aalborg
Chelsea 1x
estoril 1x
Orenburg -3.5
kasatsu -3.5
 
Nyie mnao omba mikeka mbona hamjawaji weka mkeka hata wa kupoteza watu?
Mnataka mtafniwe tu sio
Fanya homework


Mi leo Chelsea win&3+

Mkuu bado uko na Chelsea?

Westham siyo wa kuwaua kirahisi hivyo.
 
Naulizia jinsi ya kutumia bonus kwenye mkeka bet hyo voucher code unaipata wap.

Msaada inahitajika jamani
 
Leo nimeziona hizi kumi tuu jaribu tuone
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-15-11-35-22.png
    19.5 KB · Views: 40
huyu Buddy kapatwa na jambo gani? Raimundo? kulger? mtzmweusi? Sumve?

au mnaapply kitu kinaitwa kila nafasi itajililia? mpo wapiiiii

Mkuu tupo sana, kijiwe kiko powa kwa sasa na kuna discussionz za kutosha humu za kupambana na Mzungu na Mhindi.

Mi sina mtaji kwa sasa, ila nazisikilizia playoffs za BasketBall Olympic.
 
Msaada kwenye..hili
1x&0-3
Maana yake nin...nmeona kazi kurudi nyuma kupekuwa inamaana gani kama ujua naomba maelezo kidogo tuu ili niweke kumbukumbu sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…