Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu jamaa achana
 
We jamaa inaelekea una stress sana za maisha, shida yako ni nin? Ni wivu? Unakuwa kama mtoto wa kike kelele kibao, au umeolewa mumeo hakuachii pesa ya kula? Makamalia wapo kama una shida sema usije ukachepuka ukapigwa taraka kizembe.
 
Jifunze kukaa kimya ndo jibu la mjinga
 
Reactions: Ser
We jamaa inaelekea una stress sana za maisha, shida yako ni nin? Ni wivu? Unakuwa kama mtoto wa kike kelele kibao, au umeolewa mumeo hakuachii pesa ya kula? Makamalia wapo kama una shida sema usije ukachepuka ukapigwa taraka kizembe.
Ni kumpuuza tu mtu kama huyo, akikosa attention ndo atagundua kuwa alichokuwa ana kizungumza na anayo endelea kuyazungumza ni pumba tupu.
 
Acha kuhangaika na mpumbavu mmoja anayetaka kutuvurugia uzi,, dawa ni kumu ignore tu, binafsi mikeka yako naielewa sana, na ninaku fuatilia sana kwahiyo usichoke mkuu kutupa vitu 🙏🏽
 
Wewe huyo jamaa ni hatari mwezi wa nane kampiga million 70 na option ni win tu wewe na hiyo kampuni Yako yenye option nyingi umeshawahi kula hata milion 50
Katika izo million 70 na 90 wewe ulipata shilling ngapi kupitia hyo mikeka yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…