evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Pole kwa maumivuGame ya kenGold ikiisha mnishtue nichukue 11000 yangu, Beer 4, sigara za buku. Siku imeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa maumivuGame ya kenGold ikiisha mnishtue nichukue 11000 yangu, Beer 4, sigara za buku. Siku imeisha
Aaaaah kawaida kaka, sema pole kwa kaziPole kwa maumivu
Upongezwe kwa kazi mbovu, pole tu mimi sasa naenda kula hiyo helaAaaaah kawaida kaka, sema pole kwa kazi
Huyu jamaa achanaMkuu siyo lazima watu wafuate mikeka yangu kama vile ambavyo wewe ukipost Code yako humu siyo lazima mtu aibetie. Kuna code mamia zinawekwa humu Kila siku siyo lazima ufuate. Halafu hebu niambie ni nani anashinda kila siku kwenye betting? Au wewe mwenzangu mikeka yako hushinda kila siku?
We jamaa inaelekea una stress sana za maisha, shida yako ni nin? Ni wivu? Unakuwa kama mtoto wa kike kelele kibao, au umeolewa mumeo hakuachii pesa ya kula? Makamalia wapo kama una shida sema usije ukachepuka ukapigwa taraka kizembe.Mnahangaika weee hizo kampuni zenu za kirusi halafu mnalose Cha ajabu mara njia za kuweka na kutoa pesa wazitoe eti kisa option ila Kuna jamaa yupo Twitter ameshamlamba sportybet million 200 Kwa option za win na double chance tu Jana kamlamba million 90 kama kutoboa unatoboa tu hata option ya win
Jifunze kukaa kimya ndo jibu la mjingaMkuu siyo lazima watu wafuate mikeka yangu kama vile ambavyo wewe ukipost Code yako humu siyo lazima mtu aibetie. Kuna code mamia zinawekwa humu Kila siku siyo lazima ufuate. Halafu hebu niambie ni nani anashinda kila siku kwenye betting? Au wewe mwenzangu mikeka yako hushinda kila siku?
Ni kumpuuza tu mtu kama huyo, akikosa attention ndo atagundua kuwa alichokuwa ana kizungumza na anayo endelea kuyazungumza ni pumba tupu.We jamaa inaelekea una stress sana za maisha, shida yako ni nin? Ni wivu? Unakuwa kama mtoto wa kike kelele kibao, au umeolewa mumeo hakuachii pesa ya kula? Makamalia wapo kama una shida sema usije ukachepuka ukapigwa taraka kizembe.
Acha kuhangaika na mpumbavu mmoja anayetaka kutuvurugia uzi,, dawa ni kumu ignore tu, binafsi mikeka yako naielewa sana, na ninaku fuatilia sana kwahiyo usichoke mkuu kutupa vitu 🙏🏽Mkuu siyo lazima watu wafuate mikeka yangu kama vile ambavyo wewe ukipost Code yako humu siyo lazima mtu aibetie. Kuna code mamia zinawekwa humu Kila siku siyo lazima ufuate. Halafu hebu niambie ni nani anashinda kila siku kwenye betting? Au wewe mwenzangu mikeka yako hushinda kila siku?
Katika izo million 70 na 90 wewe ulipata shilling ngapi kupitia hyo mikeka yake?Wewe huyo jamaa ni hatari mwezi wa nane kampiga million 70 na option ni win tu wewe na hiyo kampuni Yako yenye option nyingi umeshawahi kula hata milion 50
Nilipata hizoKatika izo million 70 na 90 wewe ulipata shilling ngapi kupitia hyo mikeka yake?
Yani laki ndo una tupigia kelele humu why hukula ata 1M au 3M.....Nilipata hizo
Wewe umekula kiasi gani Jana?Yani laki ndo una tupigia kelele humu why hukula ata 1M au 3M.....
We jamaa ina onekana unataka TU kubishana na watu humuWewe umekula kiasi gani Jana?
Jibu swali wewe umekula kiasi gani Jana ?We jamaa ina onekana unataka TU kubishana na watu humu
Noma sana mkuu 🔥