Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
😅😅😅🤣muhindi akiona comment kama hizi anacheka tuhGuys wenye aviator kuna ela sana kule, ninakama miezi 6 toka nimeanza kucheza aviator na ninaamini chances za kupata pesa kule Ni kubwa pia, mKiona mambo hayaeleweki huku kwenye mikeka muwe mnajaribu nakule pia,
CAA2602 edited0F23D4 diet 😁 Sportybet
Hicho ulichokisema hakina utofauti sana na fixed matches katika football betting, namaanisha mawazo yako katika namna aviator inavyorun hayatofautiani na mawazo ya wale wanaosema siwezi kubet na sportpesa au m-mbet kwakuwa wanadhamini timu za simba na yanga hivyo watamanipulate matokeo ya hizo timu kama utazibetia, pia naona kama unaniattack kwakitu usichokijua, namaanisha kwanza haujui namna hata namna "promotion“ inavyofanywa, we umeniattack nimetumwa kufanya promo kwenye post yangu ya awali wakati sijataja brand name yakampuni Yoyote kwenye ile post, pili rudi shule ukasome IT ujue hata maana ya “aligorithim“ itakusaidia kujua games kama aviator zinavyorun,,,,umetumwa na makampuni kupiga promo aviator yaani niweke hela sehemu inayoendeshwa na kompyuta si nitakua chizi
Mzee embu badilisha mada endelea kucheza hiyo aviator maana tunapitezeana mda kubishana vitu vya kitotoHicho ulichokisema hakina utofauti sana na fixed matches katika football betting, namaanisha mawazo yako katika namna aviator inavyorun hayatofautiani na mawazo ya wale wanaosema siwezi kubet na sportpesa au m-mbet kwakuwa wanadhamini timu za simba na yanga hivyo watamanipulate matokeo ya hizo timu kama utazibetia, pia naona kama unaniattack kwakitu usichokijua, namaanisha kwanza haujui namna hata namna "promotion“ inavyofanywa, we umeniattack nimetumwa kufanya promo kwenye post yangu ya awali wakati sijataja brand name yakampuni Yoyote kwenye ile post, pili rudi shule ukasome IT ujue hata maana ya “aligorithim“ itakusaidia kujua games kama aviator zinavyorun,,,,
ODDS ngapiMbona mnaleta odds chache? Leteni package maana tunahitaji ukwasi wa kutosha
😅😅😅🤣muhindi akiona comment kama hizi anacheka tuh
YEAH! KILA MTU AFANYE ANACHOONA NI CHEPESI KWA UPANDE WAKE KUFIKIA LENGOMzee embu badilisha mada endelea kucheza hiyo aviator maana tunapitezeana mda kubishana vitu vya kitoto
50 mkuu niweke 20k kesho iendelee kuwa weekend kwanguOdds
ODDS ngapi
Ngoja nijitahidi the natuma muda mfupi kisha Wadau wengine watanedit where necessary then uta upload50 mkuu niweke 20k kesho iendelee kuwa weekend kwangu
Unitag mkuuNgoja nijitahidi the natuma muda mfupi kisha Wadau wengine watanedit where necessary then uta upload
Saves zinatokana na shots on target. So kwa nn wacheze saves na sio shots on target?Kwa watumiaji wa 1xbet na 888 starz cheza option hii ya saves over 3.5 weka game 4, odds zina range 1.1-1.15 kwa game 4 hukosi odds 1.6 weka ela ya kutosha ata kuanzia 20k ni hatari sana nimecheza kama mara 8 mfululizo no lost.