Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Guys wenye aviator kuna ela sana kule, ninakama miezi 6 toka nimeanza kucheza aviator na ninaamini chances za kupata pesa kule Ni kubwa pia, mKiona mambo hayaeleweki huku kwenye mikeka muwe mnajaribu nakule pia,
😅😅😅🤣muhindi akiona comment kama hizi anacheka tuh
 
Attachments

  • 20240913_224236.jpg
    20240913_224236.jpg
    60.2 KB · Views: 2
pk ur test
 
Attachments

  • IMG_20240915_105127_962.jpg
    IMG_20240915_105127_962.jpg
    123.9 KB · Views: 2
  • IMG_20240915_105124_642.jpg
    IMG_20240915_105124_642.jpg
    195.2 KB · Views: 1
umetumwa na makampuni kupiga promo aviator yaani niweke hela sehemu inayoendeshwa na kompyuta si nitakua chizi
Hicho ulichokisema hakina utofauti sana na fixed matches katika football betting, namaanisha mawazo yako katika namna aviator inavyorun hayatofautiani na mawazo ya wale wanaosema siwezi kubet na sportpesa au m-mbet kwakuwa wanadhamini timu za simba na yanga hivyo watamanipulate matokeo ya hizo timu kama utazibetia, pia naona kama unaniattack kwakitu usichokijua, namaanisha kwanza haujui namna hata namna "promotion“ inavyofanywa, we umeniattack nimetumwa kufanya promo kwenye post yangu ya awali wakati sijataja brand name yakampuni Yoyote kwenye ile post, pili rudi shule ukasome IT ujue hata maana ya “aligorithim“ itakusaidia kujua games kama aviator zinavyorun,,,,
 
Mzee embu badilisha mada endelea kucheza hiyo aviator maana tunapitezeana mda kubishana vitu vya kitoto
 
Screenshot_20240915-110254_1.jpg

MKEKA WA SIKU KWENYE 888STARZ.

Kama Huna Akaunti Ya 888STARZ Jiunge Kwenye Link Hizo Hapo Chini. Promo Code Weka Neno TIPS2424 upate bonus ya kubetia leo. Jiunge Hapa 👇.

888STARZ

888STARZ

Promo Code👉 TIPS2424

Code Ya Mkeka: CDQBL

JIUNGE 888STARZ KAMPUNI PEKEE YA MRUSI AMBAYO UKISHINDA HAINA MAKATO YA KODI
 
Kwa watumiaji wa 1xbet na 888 starz cheza option hii ya saves over 3.5 weka game 4, odds zina range 1.1-1.15 kwa game 4 hukosi odds 1.6 weka ela ya kutosha ata kuanzia 20k ni hatari sana nimecheza kama mara 8 mfululizo no lost.
Saves zinatokana na shots on target. So kwa nn wacheze saves na sio shots on target?
 
Back
Top Bottom