Hicho ulichokisema hakina utofauti sana na fixed matches katika football betting, namaanisha mawazo yako katika namna aviator inavyorun hayatofautiani na mawazo ya wale wanaosema siwezi kubet na sportpesa au m-mbet kwakuwa wanadhamini timu za simba na yanga hivyo watamanipulate matokeo ya hizo timu kama utazibetia, pia naona kama unaniattack kwakitu usichokijua, namaanisha kwanza haujui namna hata namna "promotion“ inavyofanywa, we umeniattack nimetumwa kufanya promo kwenye post yangu ya awali wakati sijataja brand name yakampuni Yoyote kwenye ile post, pili rudi shule ukasome IT ujue hata maana ya “aligorithim“ itakusaidia kujua games kama aviator zinavyorun,,,,