Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

City atashinda hiyo game... Otherwise I'm sorry if you're the Gunners
Sababu zipi zinafanya useme City atashinda kwa Arsenal? Mtazamo wangu mimi Arsenal atashinda. Kwa usalama wa pesa yako Weka Handicap ya 1.5 kwa Arsenal au total goals under 2.5. Timu zote zime struggle kimataifa, kila timu ni mechi ya kufa na kupona. Arsenal kwa City hajawa mnyonge kwa muda sasa. Huu ni utabiri tu, mengine tukutane uwanjani
 

USIACHE KUJARIBU ODDS NYINGI.
ODDS 152 KWENYE PARIPESA๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


Bet PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kujisajili Kupitia Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka๐Ÿ‘‰ TIPS2424

Link PariPesa

Link PariPesa

PROMO CODE๐Ÿ‘‰ TIPS2424

Booking Code: S8VQR

Tumia Promo Code TIPS2424 wakati wa kujisajili upate bonus ya mpaka TZS 250000.
 
1xbet wanakata kodi wanampelekea nani?
 
Mpira ukiisha ndio utajiona upo sahii au haupo sahii usijifanye mjuaji kabla nenda kaangalie arsenal mwisho kushinda lini pale Etihad
 
N4PRR

Mwenye pesa aweke balance nzuri hapo๐Ÿ‘†๐Ÿป Helabet code number ๐Ÿ‘‰๐ŸปN4PRR

Utanishukuru baadae๐Ÿšถ๐Ÿป๐Ÿšถ๐Ÿป๐Ÿšถ๐Ÿป
 
Mpira ukiisha ndio utajiona upo sahii au haupo sahii usijifanye mjuaji kabla nenda kaangalie arsenal mwisho kushinda lini pale Etihad
Niambie wewe mara ya mwisho Manchester City amempiga Arsenal lini. Nipe takwimu za msimu uliopita.
 
Mpira ukiisha ndio utajiona upo sahii au haupo sahii usijifanye mjuaji kabla nenda kaangalie arsenal mwisho kushinda lini pale Etihad
Kama ulikuwa hujui nakujuza hii "Kwenye game tatu za mwisho ambazo walikutana msimu uliopita, gemu mbili wametoka sare, na gemu moja Arsenal kashinda na Arsenal alishinda huku akiwa hana ubora mkubwa kama aliokuwa nao city". Tuseme Manchester city ni bora, kwenye gemu za kimataifa hajamfunga inter, kadhalika na Arsenal hajamfunga Atalanta.
 
Tukutane after mechi Sina mda wa kubishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ