kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Au betwayKibongo bongo hakuna kampuni nzuri ya kukaribia ubora wa mrusi (markets/options). Ila kwa usalama wa pesa zako SPORTYBET ni bora sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au betwayKibongo bongo hakuna kampuni nzuri ya kukaribia ubora wa mrusi (markets/options). Ila kwa usalama wa pesa zako SPORTYBET ni bora sana.
Sababu zipi zinafanya useme City atashinda kwa Arsenal? Mtazamo wangu mimi Arsenal atashinda. Kwa usalama wa pesa yako Weka Handicap ya 1.5 kwa Arsenal au total goals under 2.5. Timu zote zime struggle kimataifa, kila timu ni mechi ya kufa na kupona. Arsenal kwa City hajawa mnyonge kwa muda sasa. Huu ni utabiri tu, mengine tukutane uwanjaniCity atashinda hiyo game... Otherwise I'm sorry if you're the Gunners
Hiyo naweka mancity adrw ama ashindeMechi ngum iache
Tatizo wengi tunalszimisha kila Mechi ya team kubwa tuibetia
Hii Mechi sio ya kubetia kwa leo
Ni mtizamo WANGU, otherwise tafuta uzee wa haraka,utakunja sura mwanzo mwisho
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Pimbi sana huyoMan u Leo anaondoka na Kijiji[emoji23] yupo Tena jackpot natania tu[emoji3]
Hiyo Chelsea umeweka draw utalala na viatu [emoji23]Code ya Betway hiyo : ,E086121
Njoo megapari huku natereza tu888 wasenge kweli, options za kudeposit wameziweka, za kutoa hamna, ngoja nikampe tu mrusi 10% yake
1xbet wanakata kodi wanampelekea nani?1xbet haijasjili Tz mkuu
Kampuni halali ni zilizosajiliwa Bongo na bodi ya bahati na sibu na lazima itumie anuani ya .co.tz
Hawa hata wakikudhulumu unakwenda kuwashtaki bodi ya bahati nasibu na unapata haki yako
Hizo zingine sio kampuni halali tunabet kwa njia za panya tu
Hata wakikupiga hauna pa kwenda kulalamika mkuu
Usisite kuweka code hapaWiki iliyopita nilitembea na kama hii kwa double chance bado liverfool akachana 😂
Ngoja niende nayo tena kwa DC
Mrbet.co.tz imesajiliwa bongo na ina option kama za mrusi ila ina mwonekano mbovu kwa maoni yangu. Kwanza hawana app.Wewe jamaa.........sasa tutumie bet ipi yenye usajili hapa na yenye option inayoingiliana?
Mpira ukiisha ndio utajiona upo sahii au haupo sahii usijifanye mjuaji kabla nenda kaangalie arsenal mwisho kushinda lini pale EtihadSababu zipi zinafanya useme City atashinda kwa Arsenal? Mtazamo wangu mimi Arsenal atashinda. Kwa usalama wa pesa yako Weka Handicap ya 1.5 kwa Arsenal au total goals under 2.5. Timu zote zime struggle kimataifa, kila timu ni mechi ya kufa na kupona. Arsenal kwa City hajawa mnyonge kwa muda sasa. Huu ni utabiri tu, mengine tukutane uwanjani
Niambie wewe mara ya mwisho Manchester City amempiga Arsenal lini. Nipe takwimu za msimu uliopita.Mpira ukiisha ndio utajiona upo sahii au haupo sahii usijifanye mjuaji kabla nenda kaangalie arsenal mwisho kushinda lini pale Etihad
Sina mda wa kubishana mpe arsenal hiyo mechi halafu tukutane after 90 minutesNiambie wewe mara ya mwisho Manchester City amempiga Arsenal lini. Nipe takwimu za msimu uliopita.
Kama ulikuwa hujui nakujuza hii "Kwenye game tatu za mwisho ambazo walikutana msimu uliopita, gemu mbili wametoka sare, na gemu moja Arsenal kashinda na Arsenal alishinda huku akiwa hana ubora mkubwa kama aliokuwa nao city". Tuseme Manchester city ni bora, kwenye gemu za kimataifa hajamfunga inter, kadhalika na Arsenal hajamfunga Atalanta.Mpira ukiisha ndio utajiona upo sahii au haupo sahii usijifanye mjuaji kabla nenda kaangalie arsenal mwisho kushinda lini pale Etihad
Man city mbona siwaoni wanacheza leo ?Wakuu man city na arsenal nani anakufa?
Sportybet leo leoHaya pandeni dereva nimeshampiga kabari ya koo..😇😇😇
Sportybet leo leo linaisha mkitaka mnaweza kulivunga na kubeti mikeka midogo.midogo mimi nimetia sh 1000 tu odds 23
DF74F1
Ni keshoMan city mbona siwaoni wanacheza leo ?
Tukutane after mechi Sina mda wa kubishanaKama ulikuwa hujui nakujuza hii "Kwenye game tatu za mwisho ambazo walikutana msimu uliopita, gemu mbili wametoka sare, na gemu moja Arsenal kashinda na Arsenal alishinda huku akiwa hana ubora mkubwa kama aliokuwa nao city". Tuseme Manchester city ni bora, kwenye gemu za kimataifa hajamfunga inter, kadhalika na Arsenal hajamfunga Atalanta.