Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anhaaa umeona sasa kaka mpira ulivo.

Imagine nimesuka mkeka wa team 10 odds 6 7 zimetiki kabaki atletico nimempa goal moja, nimempa handcap ya 1 inter, na reipzig ft over 1.5 ,ila hadi sasa nahis leipzig kachana hata matoeko yake sijafatilia
leipzig katoa nyau nyau
 
Tatizo ya mrusi makampuni yake janjajanja nyingi
1xbet angalau ila wengine huwa hawadumu miaka miwili bila kusumbua payment method.

Akina 22bet walisepa, melbet na betwinner walisepa wakarudì. Linebet alikuja akasepa.
Ila 1xbet nimekimbia kodi nimejishikiza huku na nimejiandaa kwa lolote maana nayo ni sehemu ya kamari na hawaaminiki hawa.
 
Aisee noma sana
 
MSAADA ANAYE JUA JINSI HA KUTOA PESA PARIPESA MAANA NAJARIBU NASHINDWA NAAMWIWA NI WEKE GEOOGLE CODE NDO IPI
Wewe uliwezesha google authenticator code.
Inabidi ukishafika kwenye hatua hiyo unarudi faster kwenye authenticator kule kuna code utazikuta unacopy faster unakuja ku~paste hapo.
Zile code zinabadilika kila baada ya sekunde kadhaa, hivyo ukichelewa itakwambia wrong.

Ili kulemaza huo utaratibu watumie email kitengo cha security ya bookie wako uwatumie kitambulisho na taarifa zako muhimu.
 
Betwiner yupo na anatumia domain ya .co.tz kuonesha yupo kisheria zaidi
 
Naona jana haikuwa siku njema, nashukuru sikuweka mkeka, intermilano lazima angeninyoa upara
 
Sportybet option ya booking wangeanza na over 2.5 ingekuwa pouwa sana, na corner wangeanzia na over 5.5 ingekuwa bonge moja la kampuni
 
Wakubwa muda huu betpawa iko na shida ni kwangu tu au
Haikubali kulog in
 
Sportybet option ya booking wangeanza na over 2.5 ingekuwa pouwa sana, na corner wangeanzia na over 5.5 ingekuwa bonge moja la kampuni
😂 Hawawez Fanya kazi ya hasara , wapo Kwa manufaa Yao sio kukufaidisha ww , mwishowe utasema Kona waanze over 0.5 au Kona waeke double chance ili we uwe unacheza ashinde yoyote😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…