Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu Goal in both halves, ina maana kila kipindi lipatikane goli haijalishi ni timu gani inafunga?
 
1.98 Debreceni Vsc Win
1.94 Villarreal Win
1.32 Barcelona Win
 
1.38 Ferencvarosi Tc win
1.98 Paks Win
1.28 Suduva Marijampole Win
 
Mkuu umenena vyema kabsa.....
Unajua kuna watu hapa duniani wanajifanyaga wao ni wema kuliko wenzao.....Mimi huwa nawashangaa sana
 
Mkuu umenena vyema kabsa.....
Unajua kuna watu hapa duniani wanajifanyaga wao ni wema kuliko wenzao.....Mimi huwa nawashangaa sana

Mungu hafanyi malipo mwehu wewe....

Mpotezeeni anatafuta kiki, hawa ndio watu wanaoshinda kwa mchungaji na kutoa sadaka afu kwake au kwao wanalala njaa, sadaka sio lazima pesa hata hapa tunatoa sadaka, anajiona mwema na mtakatifu kutoa sadaka huku anaowapa wakinenepa na kukuza vitambi vyao.....hajui kuwa analiwa kwa kupitia mgongo wa fungu la kumi.

At the end kila mtu na maisha yake na maamuzi yake tuliwe we inakuusu nini au inakuuma nn kama hela ni zetu na tunatafuta kwa jasho letu.
 
Huyu keshapita na ishawekwa kijani...
Maelezo :
Kipindi cha kwanza wameenda 1-0 (under 1.5 first half)
Kipindi cha pili wameenda 2-2 (over 1.5 second half).... Hivyo basi kila kipindi hakijatoa UNDER 1.5 .... Hivyo lile chaguo na UNDER 1.5 EACH HALF NO LIMEKUBALI ...... HAYA KAZI KWENU NA ODDS HAZIPUNGUI 1.30.....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-17-18-13-37.png
    42.2 KB · Views: 40
Hii ipo poa sana ngoja ntaijaribu jmoc
 
Acha nife kiume na NEWCASTLE UTD yangu . Natupia £25
 
Reactions: pri
Kwa mfano hiii kipindi cha kwanza wametoka 1-1 ... Tayari chaguo la Under 1.5 each half NO limekubali....
kumbe ni aina flani ya double chance ila iliyojikita zazidi kwenye over1.5 au 2+ goals kwa kipindi chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…