SHUKRANI Mkuu kwa Darasa tamu, nimepata maarifa mapyawiki hii nimejifunza somo kubwa sana kuhusu matreni,
last week nilisuka treni nikaweka 1000 ili itoe 190k, alibaki man utd peke yake vs twente wakanipa cashout ya 110k nikagoma..... ngoma lost
jana nilisuka treni la hadi alhamis nikatia 1k ili nivune 5.3m bayern nilimpa over 1.5 (individual total), ilipofika ht wakanipa cashout 90k, nimegoma....lost!
hapa nimegundua dawa ya treni ni kustake mara 2 (mfano leo ningecashout mmoja na kubaki mwingine, still ningepata faida kubwa!).......
nashauri wapenda treni, hata kama unastake 100, bora ustake mara 2 utapata faida hata mara 100 yake lakini ukistake moja inakua ngumu ku-cashout wakati unaona dalili za kushinda zipo kumbe kuna vibwengo kama man u wanachana!
..... unaesuka treni jitahidi sana ustakw mara 2, kuna namna utapata faida mana mengi huchanika baada ya game 10+, unakuta umebakiza game 10 kati ya 30+ linachanika
Mkuu tunaomba train YA leowiki hii nimejifunza somo kubwa sana kuhusu matreni,

Kumbe 888starz wameshakuwa na wakala na hamsemi?
Ni swala la muda tuHivi kwa tunaotumia Sportybet, hii game ya galatasalay nilimpa win, katoa draw ila mkeka bado unasoma ,hii ikoje wadau
Tena Yuko away na kwenye ligi haonyeshi ushindani,,,,, muache ashinde tu ila cyo kwenye mikekaAzam namuogopa kama Leipzig
Unayejua kubeti sasa ,,, umemuona Galatasaray 🤣🤣🤣Huyo hajui kubet,kwa mtaji mkubwa hivyo bora angeipa leipzig na galatasary atulie
Sure ndugu,hao galatasary itakuwa walipitiwa na p didy sio kwa kulegea hukoUnayejua kubeti sasa ,,, umemuona Galatasaray 🤣🤣🤣
Betting haina kuzodoana ndg,,, kama kaupepo kakikataa kamekataa
Ipo SawaMaafisa ubashiri naombeni Mtazamo wenu hapa yupi nimpungue au niweke option gani angalau tufidie maumivu ya Jana View attachment 3109975
Hii ni kwamba kama Team ulioipa ikiongoza mpinzani wake kwa zaidi ya tofauti ya goal mbili basi inakuwa WinnWazee ebu naomba mnieleweshe hii option ya 2up sportbet ikoje
Kuna mwamba huko juu alisema kuwa kama timu yako uliyoibetia ishinde itaongoza 2 kwa zero basi automatically hyo timu imeshinda na hata kama huko baadae timu pinzani itarudisha hayo magoli ,lakini pia Hilo neno linasomeka 2UP ,kwa kiswahili ni Mbili juu wakimaanisha magoli mawili juu ,wakali wa mambo mnaweza ongeza nyama hapa.viva sportbet kwa hii option mujarabuWazee ebu naomba mnieleweshe hii option ya 2up sportbet ikoje
HaswaaaaaUnayejua kubeti sasa ,,, umemuona Galatasaray 🤣🤣🤣
Betting haina kuzodoana ndg,,, kama kaupepo kakikataa kamekataa