Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wiki hii nimejifunza somo kubwa sana kuhusu matreni,

last week nilisuka treni nikaweka 1000 ili itoe 190k, alibaki man utd peke yake vs twente wakanipa cashout ya 110k nikagoma..... ngoma lost

jana nilisuka treni la hadi alhamis nikatia 1k ili nivune 5.3m bayern nilimpa over 1.5 (individual total), ilipofika ht wakanipa cashout 90k, nimegoma....lost!

hapa nimegundua dawa ya treni ni kustake mara 2 (mfano leo ningecashout mmoja na kubaki mwingine, still ningepata faida kubwa!).......

nashauri wapenda treni, hata kama unastake 100, bora ustake mara 2 utapata faida hata mara 100 yake lakini ukistake moja inakua ngumu ku-cashout wakati unaona dalili za kushinda zipo kumbe kuna vibwengo kama man u wanachana!

..... unaesuka treni jitahidi sana ustakw mara 2, kuna namna utapata faida mana mengi huchanika baada ya game 10+, unakuta umebakiza game 10 kati ya 30+ linachanika
SHUKRANI Mkuu kwa Darasa tamu, nimepata maarifa mapya
 
Mkuu tunaomba train YA leo
 
Kumbe 888starz wameshakuwa na wakala na hamsemi?
Screenshot_20240929-064143_1.jpg

Ndiyo mkuu. Sasa watu wanaweza ku deposit na kuwithdraw Kupitia Wakala huyo hapo 👆
 
Maafisa ubashiri naombeni Mtazamo wenu hapa yupi nimpungue au niweke option gani angalau tufidie maumivu ya Jana
Screenshot_20240929-082209.jpg
 
Odds chache kwa siku unatosheka , hakuna maumivu ya barca wala galatasaray
 
Attachments

  • IMG_1495.png
    IMG_1495.png
    307.3 KB · Views: 3
Maafisa ubashiri naombeni Mtazamo wenu hapa yupi nimpungue au niweke option gani angalau tufidie maumivu ya Jana View attachment 3109975
Ipo Sawa

Ongeza Azam Win or Draw
Mechi ya SIMBA mie pia nimeipa Win or Draw,yule Mecky Mexime kocha wa Dodoma huwa ana provide Mechi ngum mnoo kwa Simba

Maana Dodoma Jiji kafungwa Mechi Moja tu kwenye mechi 5.
Draw na Prison
Mbili mbili na Fountain gate
Kamfunga Namungo
Bila Bila na Pamba Jiji
Alifungwa na Maahujaa tu goal Moja

SIMBA najua ni level kubwa na wapo on fire mnoo
Ila hii NDIO Mechi yao ya Kwanza Tangu league ianze kucheza Mkoani.
So,mie Direct Win nimeiogopa mpaka niione Simba at least imecheza Mechi 5 za mikoani nitaweza kuona stability yao

But Simba still giant na 80% ya winning ipo

Ni mtizamo WANGU
 
Wazee ebu naomba mnieleweshe hii option ya 2up sportbet ikoje
Hii ni kwamba kama Team ulioipa ikiongoza mpinzani wake kwa zaidi ya tofauti ya goal mbili basi inakuwa Winn

Mfano hata kama Dakika 5 tu mtu kala chumba mbili Bila basi hapo hapo win,au Tatu Moja ni win
Muhim iwe difference ya 2 goals

Mfano Jana Galatasasay na Arsenal
First Half tu 2up ilikuwa Win tayari
 
Wazee ebu naomba mnieleweshe hii option ya 2up sportbet ikoje
Kuna mwamba huko juu alisema kuwa kama timu yako uliyoibetia ishinde itaongoza 2 kwa zero basi automatically hyo timu imeshinda na hata kama huko baadae timu pinzani itarudisha hayo magoli ,lakini pia Hilo neno linasomeka 2UP ,kwa kiswahili ni Mbili juu wakimaanisha magoli mawili juu ,wakali wa mambo mnaweza ongeza nyama hapa.viva sportbet kwa hii option mujarabu
 
Back
Top Bottom