LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
🤣🤣🤣🤣
Barcelona kweli wewe ni wakunifanyia hivi. umeniuzi sana nimekosa mamilion kwaajir yakoKaribuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Pole sana Afisa ubashiri nadhani kama mambo yangekuwa poa Leo tungepata mitaji ya kumkanda KanjiDaa hii timu imenikosesha million 14 vikapu vinne tu kipindi cha kwanza
Mkuu unanitia mashaka nishaweka mzigo simba winIpo Sawa
Ongeza Azam Win or Draw
Mechi ya SIMBA mie pia nimeipa Win or Draw,yule Mecky Mexime kocha wa Dodoma huwa ana provide Mechi ngum mnoo kwa Simba
Maana Dodoma Jiji kafungwa Mechi Moja tu kwenye mechi 5.
Draw na Prison
Mbili mbili na Fountain gate
Kamfunga Namungo
Bila Bila na Pamba Jiji
Alifungwa na Maahujaa tu goal Moja
SIMBA najua ni level kubwa na wapo on fire mnoo
Ila hii NDIO Mechi yao ya Kwanza Tangu league ianze kucheza Mkoani.
So,mie Direct Win nimeiogopa mpaka niione Simba at least imecheza Mechi 5 za mikoani nitaweza kuona stability yao
But Simba still giant na 80% ya winning ipo
Ni mtizamo WANGU
Mkuu kama una pesa ongeza hata 100k simba na yanga direct winMkuu unanitia mashaka nishaweka mzigo simba win
Tena mimi nawadhamini washinde kuanzia 1H.Mkuu kama una pesa ongeza hata 100k simba na yanga direct win
Mkwepeni AzamIpo Sawa
Ongeza Azam Win or Draw
Mechi ya SIMBA mie pia nimeipa Win or Draw,yule Mecky Mexime kocha wa Dodoma huwa ana provide Mechi ngum mnoo kwa Simba
Maana Dodoma Jiji kafungwa Mechi Moja tu kwenye mechi 5.
Draw na Prison
Mbili mbili na Fountain gate
Kamfunga Namungo
Bila Bila na Pamba Jiji
Alifungwa na Maahujaa tu goal Moja
SIMBA najua ni level kubwa na wapo on fire mnoo
Ila hii NDIO Mechi yao ya Kwanza Tangu league ianze kucheza Mkoani.
So,mie Direct Win nimeiogopa mpaka niione Simba at least imecheza Mechi 5 za mikoani nitaweza kuona stability yao
But Simba still giant na 80% ya winning ipo
Ni mtizamo WANGU
Ngoja niweke 100kMkuu kama una pesa ongeza hata 100k simba na yanga direct win