Toa wote wa juu Hao mbakize YoungMwenye ushauri View attachment 3110095
Uko vizuri huu mkuuWadau vip hapa?View attachment 3110120
Ok fresh ngoja nitie pesaUko vizuri huu mkuu
Yani man u unampa ashinde,Mwenye ushauri View attachment 3110095
Mkuu kwa odd hizo na assume una stake high.Maafisa ubashiri naombeni Mtazamo wenu hapa yupi nimpungue au niweke option gani angalau tufidie maumivu ya Jana View attachment 3109975
Pole mkuu mwaka jana nilikosa grand audit treni matata kwa dau la sh 50 tuu kisa Man United vs Copenhagen mkeka ulikuwa home/draw & over 1.5 mechi ikaisha 1:0 tena dakika za majeruhi copen alikosa penalty. Katika team 39 ilichana moja tuu.Daa hii timu imenikosesha million 14 vikapu vinne tu kipindi cha kwanza
Kuna yule mwingine wa kuitwa M-bet yeye ndo hana option kabsa na kama angekomaa tangu alipoanza sijui kama Kuna kampuni ingemfikia kwa watejaKampuni mpya zimejipanga zina option nyingi lakini akina sportpesa wamekomaa na option 17 tu.
Fikiria eti ukitaka simba na yanga wote kwenye game zao washinde first half hakuna hiyo option.
Kinachombeba sportpesa ni kwa vile alikuja mapema hapa bongo halafu payment method zake hazisumbui.