Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds 600+ 🤞🏽
Screenshot_20240929-124708.jpg
 
Maafisa ubashiri naombeni Mtazamo wenu hapa yupi nimpungue au niweke option gani angalau tufidie maumivu ya Jana View attachment 3109975
Mkuu kwa odd hizo na assume una stake high.
Roma na Napoli kuwaweka mkeka mmoja ni hatari kwa afya ya mkeka wako hata kama wapo nyumbani na umewapa DC

Hapo timu zenye possibility kubwa ya kutoa ni Simba na Yanga tu hata ziki lost uanona kabisa zimeteleza

Bora kumpa Simba win na Yanga win over 1.5 angalau matumaini ni makubwa

Na unaweza ukaziacha Roma na Napoli ukashangaa zime shinda ushindi mnono kabisa😂.

Mind you katikati ya wiki Roma ana mashindano ya Europe
 
4+ Odds || B6CFAA8🪄

Sportybet
Give Reactions if you’re Active
 
Daa hii timu imenikosesha million 14 vikapu vinne tu kipindi cha kwanza
Pole mkuu mwaka jana nilikosa grand audit treni matata kwa dau la sh 50 tuu kisa Man United vs Copenhagen mkeka ulikuwa home/draw & over 1.5 mechi ikaisha 1:0 tena dakika za majeruhi copen alikosa penalty. Katika team 39 ilichana moja tuu.
Betting ndio ilivyo inadisapoint ila hakuna kukata tamaa.
 
-8na30.jpg

BET OF THE DAY ON PARIPESA

Betia PARIPESA? Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌 Pata 250000 Bure Ukijiunga PariPesa LeoWNa Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit Kwa Mara Ya Kwanza.

Booking Code: RF829
 
Kampuni mpya zimejipanga zina option nyingi lakini akina sportpesa wamekomaa na option 17 tu.

Fikiria eti ukitaka simba na yanga wote kwenye game zao washinde first half hakuna hiyo option.

Kinachombeba sportpesa ni kwa vile alikuja mapema hapa bongo halafu payment method zake hazisumbui.
 
Kampuni mpya zimejipanga zina option nyingi lakini akina sportpesa wamekomaa na option 17 tu.

Fikiria eti ukitaka simba na yanga wote kwenye game zao washinde first half hakuna hiyo option.

Kinachombeba sportpesa ni kwa vile alikuja mapema hapa bongo halafu payment method zake hazisumbui.
Kuna yule mwingine wa kuitwa M-bet yeye ndo hana option kabsa na kama angekomaa tangu alipoanza sijui kama Kuna kampuni ingemfikia kwa wateja
 
Today we have 12+ free ticket 4+ odds and 3+ odds
Here we go 👇

1) PARIPESA code: 2PHXZ
2)PARIPESA code: HX2XZ

3)PARIPESA code: F7P8Z

Good luck 🍀🍀🤞
 
ماتش مخلص مزيان 2.62 odd 😯😯😯😯
انشالله داخل 💯🎯🎯🎯🎯🎯🎯🎯🎯
 
FREE FOR CONFIDENCE
⚓Ipswich - Aston Villa
⚓Tips: 2FT 📍
⚓Odds: 2.20
⚓League: England
 
pk ur test
 

Attachments

  • 1727613928175.jpg
    1727613928175.jpg
    421.1 KB · Views: 4
191
Odds
wekamzigoo
 

Attachments

  • 1727615747136.jpg
    1727615747136.jpg
    157.6 KB · Views: 3
𝗦𝘁𝗿𝗶𝗰𝘁𝗹𝘆 𝗢𝘃𝗲𝗿 𝟮.𝟱 𝗚𝗼𝗮𝗹𝘀 ⚽⚽⚽

Weka ov 1.5
kamuamzigo
 

Attachments

  • 1727615872443.jpg
    1727615872443.jpg
    142.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom