Vuta subra mkuu ushindi upoHii Simba Leo itatulaza vibaya kama vile Azam walivyobania mkwanja
nilimwomba manyu goli, odds zenyewe zilikua 1.15...
hii timu itabidi niiweke blacklist sasa,
Ziko wapiSimba over 1.5 odd 2 saafi kabisa
Mkuu hii ni app Gani?alldbest
Huyu inatakiwaga kumbetia kwa timing yani akicheza na kibonde kabisa na sio spursMan U anatusalimia
Mrusi hana mpinzaniHivi ni kampuni gani yenye live game nyingi kwa pamoja ukiachana na sportybet?
Kidogo akimbie na 200k yangu. Nilikuwa nimemweka kwenye mikeka miwiliSimba leo chupu chupu game ilikua tough sana
Bora kubet booking, niliweka bookings over 2.5 first nikafuta nikampa mazima (kilichotokea ndo hiki tena)Huyu inatakiwaga kumbetia kwa timing yani akicheza na kibonde kabisa na sio spurs