Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante lkn nitaplace bet saa jioni nadhani odd zitakuwa zimeshuka kidogo
Kaka Kaka mchukue vojvodina vs AZ alkmaar GG odds 1.71 Gabala nae atashinda Kati ya goli 1-2 lakini hawezi kufikisha goli Tatu. Hivyo Gabala unaweza kumcheza NY au under 2.5 goals. Ukitaka kujazia hela ya kutolea mpesa mpe sassuolo over 0.5 FT au mnyime cleensheet FT creneva Zvezda.
 
Ushauri wote nauchukua, kumbukeni nipo safari nikiliwa nakosa nauli na mazagazaga ya hom
 
ODDS 24.7

LEO Nmetandika mkeka kiivyo.... leteni na yenu tudese
game za leo zimekaa kinyuma nyuma
 

Attachments

  • bet leo.png
    7 KB · Views: 42
Wakuu naombeni maelezo kuhusu ladbrokerz nataka kuanza kubet kwao but sijui A to Z yao
 
Wakuu, bado michawi inazidi kututesa lakini HAKUNA KUKATA TAMAA:

 
Wakuu mshaangalia Bankocep naona uchambuzi wao uko vizuri leo. Cm yangu inazingua kuattach mwenyekuweza kuweka pls Cc Mtoto wa nzi na Buddy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…