Mkuu ila england haaminiki. Hakawii kusimamisha shilingi. Nipo najifikiria hapa juu ya kumpa england.
England kama taifa stars...ntacheza draw ya 45mins
Tufatisheni statistics, England weupe, hata football pundits wa UK washasema, imagine Portugal wazuri na wamepigwa na "pimps" (Albania)
Jamani eeeeh England kapewa 2.7 hapa ukimpa laki unapata faida 170000 naamini England anashinda. Biohazard leo tumpe England maana hizi odds zaweza pungua
wakuu kuna gemu nyingine hamjazishtukia, vizuri kula na nduguzo!
Saudia Arabia vs Australia - hii gemu Australia anashinda na kapewa odd ya 2
South Korea vs Uruguay - hii gemu Uruguay anashinda au GG hapa ni lazima itokeee
Kujiamini kwa australia inaweza ikama mimba sababu game 8 zilizopita zote amefungwa na anaonekana hana forward kabisa ambayo ni risk kwa GG, pia Saudi naye ni shida kwenye foward na game though game 5 kashinda 1.
Na wasiwasi hii game inaweza isha draw ya 0-0 au 1-1
mkuu ebu tupia lile jiwe lako la leo tuone, wewe jamaa ni shidaaaaaa
England, Uruguay naaeka laki
Kujiamini kwa australia inaweza ikama mimba sababu game 8 zilizopita zote amefungwa na anaonekana hana forward kabisa ambayo ni risk kwa GG, pia Saudi naye ni shida kwenye foward na game though game 5 kashinda 1.
Na wasiwasi hii game inaweza isha draw ya 0-0 au 1-1
Mi najumlisha mawazo yenu afu naenda kujilipua....